Recent content by soshoMidia

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya maisha nahitaji msaada

    Pole mkuu #kwa imani utapata hitaji lako
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani nimlipue huyu Mrembo, alinidhalilisha sana

    #kwa jinsi nilivyo,naona kabisa ulikua huna kazi za kufanya,,hizo zote pumba tupu[emoji41] unatoa wapi muda wa kumbe mbeleza mtu 3 to 5times angali dalili hazipo????
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ndugulile: Kama hauna uhakika na taarifa usipost, usiretweet, ku-like wala kukomenti

    Nime like aje huku[emoji849] Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    #akili kubwa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji maoni yako juu ya bajeti yangu kwa ajili ya ufunguzi wa duka langu

    halilipi kama ukikaa nyuma ya keyboard utype! umeambiwa utoe maoni yako umeanza blah blah.Kama halilipi mpe lako linalolipa[emoji41]
  6. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kushirikiana nae kwenye biashara

    mchele unatofautiana grade sijajua utaleta upi kama unayo nia karibu inbox mkuu namba 0787357219 tupange
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kushirikiana nae kwenye biashara

    nina business plan nishaiandaa nimeweka namba angu tunaweza wasiliana direct
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kushirikiana nae kwenye biashara

    nitakubali ndio kulingana na tulivyokubaliana mana biashara ni yetu sote
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kushirikiana nae kwenye biashara

    tutazungumza mkuu ila akiwa angalau na 1m tunaweza fanya kitu chenye faida mana tutaongezea na kilichopo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kushirikiana nae kwenye biashara

    Habari wakuu! Mimi ni kijana jinsia (me) Wasifu: Fresh graduate nina shahada ya Teknolojia Habari na Mawasiliano (ICT) kwa sasa nipo Dar naendesha biashara yangu, experience yangu kwenye biashara huu ni mwaka wa tatu(mwaka wa kwanza nilianza na genge nikiwa bado nipo chuo, mwaka ulofata...
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yupi bora, mwanaume anayeacha pesa au anayenunua mahitaji yote mwenyewe?

    [emoji41]
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kuendesha biashara yako mwenyewe ni kazi ngumu sana

    mkuu kwanza hongera sana kwa mpambano! #pili nikushauri yafuatayo mosi kaa chini jitathmini wewe kama wewe wapi unakosea, zungumza na majiran na wateja wako hapo ulipo juu ya huduma unayotoa, angalia eneo unapofanyia hiyo biashara,tizama mienendo yako mwenyewe means kauli zako kwa wateja...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kushirikiana kwenye biashara

    kwa level hiyo itapendeza Liwe la jumla na rejareja ila li base kwenye hizo bidhaa tajwa
  14. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kushirikiana kwenye biashara

    ndio mkuu
Back
Top Bottom