Nahitaji maoni yako juu ya bajeti yangu kwa ajili ya ufunguzi wa duka langu

Mr independent

New Member
Dec 24, 2020
2
1
20210215_153535.jpg
 
Mkuu hapo kwenye mafuta yakujipaka ongeza bajeti, navileviele kwenye juisi pia usisahau
 
Vilevile kwenye miswaki pia ongeza maana kuna miswaki kuanzia ya bei ya shilingi mia 300, 500 mpaka 1,500. Kwahiyo kwa elfu 15 pekee ni ndogo
 
Kwenye dawa ya meno pia maana napenyewe dawa zipo zaidi ya aina moja na bei tofautitofauti kuanzia mia 5 nakuendelea. Ongeza bajeti hapoooo
 
Sabuni napenyewe ongeza bajeti maana kuna sabuni za kipande na sabuni za unga.

Vilevile kuna sabuni zakuogea kuna aina zaidi ya moja vilevile nabei zinatofautiana.

Navileviele sabuni zakuogea pamoja na mafuta ya kupaka yanapendezesha duka. Ongeza bajeti hapo.
 
Sabuni napenyewe ongeza bajeti maana kuna sabuni za kipande na sabuni za unga. Vilevile kuna sabuni zakuogea kuna aina zaidi ya moja vilevile nabei zinatofautiana. Navileviele sabuni zakuogea pamoja na mafuta ya kupaka yanapendezesha duka. Ongeza bajeti hapo
 
Mkuu nakushauri usisahau vile vyote wanavyopenda watoto vinalipa sana.
 
Sijajua mfuko wako umekaaje lakini nakushauri uongeze vitu kama

Pipi
Biscuits
Mikate
Slippers (Ndala)
Dawa za kuuwa mbu
Battery za remote
Maji ya kunywa
Juice
Soda

Vingine wadau watajazia
 
Duka dogo Hilo punguza hiyo ya usajili ...weka 20,000 machinga kutambulisho .. pia ufunguz toa hiyo 50,000 weka 6000 utanunua bigi g 4 Kwa 1500 ... Unagawaia watoto moja moja kila atakae kuja kununua .. pia mswaki umeweka bei kubwa mno ...utachukua dazen 2 Kwa 6000 unapata pic 24*500 faida yako .. Mchele pia kiasi kidogo Sana nadhani jitahid upate 100kg
 
Hivi duka la hivi linafaida kweli?
Hili Duka mahesabu yake ni magumu , ili uendelee inabd uwe unachukua hela unafanyia maendeleo , kama Duka halipungui hyo ndo indicator kwamba unapata faida , na inabd wewe ndo usimamie shoo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom