Recent content by sony wega

  1. S

    JamiiForums Tanzania John Pombe Magufuli unatuchefua

    Waziri mwongo anakuambia kuwa kabla marehemu kigoda hajapelekwa ICU alimpigia cm na kumtumia email sasa jamani mtu akiwa hoi hajitambui huwa ana piga cm huu ni uwongo Wa mchana kweupe
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzinga wa KONYAGI ni shida

    Wadau habari ya weekend, Eti naomba kujuzwa au kufahamishwa kuwa kwanini ukipiga mzinga wa konyagi show ya mambo yetu ya kikubwa inakuwa verry fantastik.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Eti kiroba ni dawa ya mafua
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Bank ya CRDB

    Hawa crdb ni wezi wakubwa hakuna faida zaidi ya kimey kutumika na jack zoka kuihujumu cdm ni mafisadi
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msg za uswahilini

    Manzari sijasema
  6. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo: Ni ujinga kujadili IPTL

    acha dharau we mzee
  7. S

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Nguvu sina hela sina hata mkwala?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    Ukimiliki subaru na ww uwe na shell kabisa
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hii ya Malaysia Airlines ni maajabu tu

    Niko huku lukozi nimemwambia bibi aichek kwenye mitambo yake asili kasema hii ngoma iko kalenga iringa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Salum mkambala wa channel ten apata ajali yu maututi.

    Yaa itakuwa kweli so nimetokea muhimbili mida ya saa nane nikakuta gari ya chanel ten iko pole emergence
  11. S

    JamiiForums Tanzania Dar Traffic update - Feb 17, 2014: Kuna Foleni kubwa Morogoro road

    Jamani mbona kawaida ss wa mbagala mbona tumeteseka sana kwa kueni wapole wakuu , nanukuu maneno ya mkulu kuwa ukiona foleni sana basi uchumi unakuwa
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

    Now nimeanza kukuchukia hembu kata cm kuna cm inaingia
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini castel lite & noah kitu banana & noah:p

    Wakuu habari jaman, hii ni new combination ya bidhaa hii kama unataka kitambi mwli mkubwa na we uwonekane kama mambo yako ni saaaafi kabisa basi piga hii kitu banana au kwa jina lingine akanana au ndizi kitu cha arusha hichi bei yake sio ya kutisha saaaaaana ni 600 tu ukilialia sana ata jero...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya huyu mgeni,mana amebadili nyumba yangu

    Hata mm hii kitu inanikera sana njoo kwa mtu kuwa msafi na unawahi kuamka sio unalala mpaka saa nne unamka huna unachofanya wala nn kwanza mm kwenda kwa ndugu ntalala siku moja tu ya pili ntajua mm so siwezi kabisa
  15. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    nishakuambia kuwa subiri utafunie kisha umwagiwe mdomoni
Back
Top Bottom