John Pombe Magufuli unatuchefua

John Pombe Magufuli unatuchefua

halafu mwongo kweli huyu jamaa eti alitumiwa email na Kigoda akiwa ICU!!! is it?

Nawe mwongo vilevile utafikiri taarifa ya habari mmetizama pekee yenu kasema kabla hajaenda ICU ndo aliongea nae hebu rudia taarifa asubuhi usikie vizuri pengine chuki tu.
 
Waziri mwongo anakuambia kuwa kabla marehemu kigoda hajapelekwa ICU alimpigia cm na kumtumia email sasa jamani mtu akiwa hoi hajitambui huwa ana piga cm huu ni uwongo Wa mchana kweupe
 
Waziri mwongo anakuambia kuwa kabla marehemu kigoda hajapelekwa ICU alimpigia cm na kumtumia email sasa jamani mtu akiwa hoi hajitambui huwa ana piga cm huu ni uwongo Wa mchana kweupe

Sasa mkuu unashangaa nini? Ndivyo walivyo hawa binadamu, hukumbuki ya Membe? Balali kufanyiwa operation baada ya kufa?
 
Prophecy coming to reality.

4years way back now time for fulfilment.

Wapi chuo cha kusomea uwaziri na urais? Ulichoandika ni sawa kulingana na uelewa wako, tatizo kubwa linalowasumbua watz wengi hasa wanaojiita wasomi wa ss, kinsingi wachache wao uelewa ni mdogo sana.
 
Ukimuona kijana anashabiki ccm.akapimwe ubongo.maana ajui alitendalo.kigoda india wewe muhimbili.dawa utajua unazipata wapi tena yale maduka yana bei sana.maisha yanapanda na hikikimshahara ka vilaki kadhaa.
 
Mwanzoni tulijua kuwa wewe ni mtu makini kume tumekosea. Nadhani hata wanaokutumikisha wanajua kuwa wewe si makini na ndio maana wanakuwekea spidi gavana na kukuambia uache ubabe. Mwanzoni nilidhani wamekuonea kumbe walikuwa sahihi. Upo kama roboti. Nimegundua hili kutokana na matamshi na kauli zako. Barabara zote nchini unazijua wewe. Vifungu vyote vya sheria umevikariri wewe. Hizo sheria ni kwa ajili ya binadamu lakini wao/sisi sio programmed kama wewe.


Wenzako umeshwasikia wanabwabwaja hovyo? Time will tell

Kweli Muda ni mwalimu "asiye weza kulipa mia mbili apige mbizi" pantoni Kigamboni!
 
Huyo ndio rais tunaemtaka watanzania "Rais Mbabe" hatutaki mtu anayejinyea kwenye nguo. Utatoa mapovu sana mdomoni lakini MAGUFULI ndio rais wako mpya. Upende, usipende MAGUFULI ndio rais wako, anasubiria tu kuapishwa. Mbona mtakoma mwaka huu! #HapaKaziTu

Eti naibu son of gamba!utumbo usio kifani halafu baadae ujifanye mtu mbele za watu Kumbe utomvu Wa mzoga umejaa kichwani.
 
Uzi huu lazimq uje matokeo zaidi ya haya yanayoendelea kushuhudiwa nchini.
 
Mwanzoni tulijua kuwa wewe ni mtu makini kume tumekosea. Nadhani hata wanaokutumikisha wanajua kuwa wewe si makini na ndio maana wanakuwekea spidi gavana na kukuambia uache ubabe. Mwanzoni nilidhani wamekuonea kumbe walikuwa sahihi. Upo kama roboti. Nimegundua hili kutokana na matamshi na kauli zako. Barabara zote nchini unazijua wewe. Vifungu vyote vya sheria umevikariri wewe. Hizo sheria ni kwa ajili ya binadamu lakini wao/sisi sio programmed kama wewe.

Juzi hapa mkizindua barabara pale Dodoma, Pinda alikupiga dongo kuwa Rais alikupeleka uvuvi, na kule unajua idadi ya samaki nchini. Rais akaona bora akurudishe ujenzi. Tatizo lako mkuu unamtumikia ------ kupitiliza, hadi unampa kero.

Wewe ni mchapakazi sawa, lakini yawezekana huna maadili ya kazi. Hakuna mtanzania anayekuwazia urais. Wanakuwazia uwaziri tu kwa kuwa watanzania wanajua unajua kutumika.

Achana kabisa na siasa zako za maji taka. Sio kila unapotoa neno hadharani usifie chama chako na kuponda upinzani. Kwa taarifa yako, unaowahutubia ni wapinzani. Sasa unapoponda viongozi wao na harakati za upinzani, wanakuchukia kweli. Wanakuoanisha na majina yako.

Tatizo lako mkuu unatupa mawe hovyo kiasi cha kuwatwanga na wazazi wako pia. Nakufananisha na Abunuwasi kukata tawi ulilokalia. Hilo tawi ni wananchi. Mpita njia akikuambia kuwa unafanya kosa kwani utaanguka, unamkejeli. Utakapoanguka utamkimbilia aliyekuambia ukweli kumwomba utabiri zaidi, angalia asijekwambia utakufa lini.

Achana na upinzani kwani ni jeshi kubwa kwa sasa. Una kashfa nyingi tu tunazozifahamu na nyingine zitafahamika. Una kashfa ya kuuza nyumba za serikali. Una kashfa za kumpa kimada wako nyumba ya serikali. Una kashfa ya kunyanyasa staff wako kwa kuletewa majungu na wapambe wako. Una kashfa ya ubabe, n.k, n.k. Fanya kazi, kiongozi kwani huijui kesho. Kazi ya kubwabwaja mwachue nape. Kaajiriwa kwa kazi hiyo. We kazi yako miundombinu. Usiwe kama mzazi anayewapa wanae mahitaji kwa masimango. Wenzako umeshwasikia wanabwabwaja hovyo? Time will tell

jamaa mbona ulichoandika hakieleweki bwana ukiwa?
 
Hivi hamna mambo ya maana kuyadadili kil siki vitu trivial visivyo na mbele wala nyuma. Kama nyinyi ndo great thinkers basi nchi hii imeisha. Discuss issues muhimu siyo alinacha na akina abunuasi. Wanaowalipa wana ela za kuchezea.
 
Eti naibu son of gamba!utumbo usio kifani halafu baadae ujifanye mtu mbele za watu Kumbe utomvu Wa mzoga umejaa kichwani.

Utatoa sana mapovu mdomoni lakini ukweli utabakia palepale; Magufuli ndio rais wako mpya anayesubiria siku ya kuapishwa tarehe 29 October saa nne asubuhi uwanja wa Taifa jijini Dar. Jiandae kisaikolijia mapema ndugu. #HapaKaziTu
 
DuH! Hii mada ifikie ukingoni sasa. Ilikuwa ni mada ya miaka kadhaa nyuma huko. Na mambo yanabadilika pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom