Wizi wa Bank ya CRDB

Wizi wa Bank ya CRDB

Status
Not open for further replies.
Hawa crdb ni wezi wakubwa hakuna faida zaidi ya kimey kutumika na jack zoka kuihujumu cdm ni mafisadi
 
Tumia akili vizuri siyo unakurupuka kwahiyo unataka utoe pesa ATM bure?
 
Mkuu unaonaje hizo pesa zako utunze nyumbani halafu uone kulivyo na gharama kubwa kutunza pesa.

mnatakiwa kuwa feya kwa wateja wenu
sio kuwakamua tu kisa awana pa kutunzia
poor business strategy
 
Ndugu wana JF!

Je mnajua jinsi Bank inayosikiliza "CRDB" inavyoibia wateja wake? Fikiria kila ukitoa pesa kwenye ATM wanakata shs. 700.00. Wanasema kwa siku unaweza kutoa shs. 1,000,000.00. Lakini huwezi kutoa hiyo million moja mara moja utatoa mara tatu na kila ukitoa unakatwa shs. 700/=, kwa ujumla utakatwa shs. 2,100/=, hizo ni hela nyingi sana.

Na ujue kila mwezi unakatwa shs 1,500/= kama reja fee. Sasa huu ni wizi kama ule wa ESCROW.

Watanzania tuamke na tukatae wizi wa mchana mchana.

Naomba kuwasilisha!

= ledger fee
 
hii ndo inanikera balaa
ela zangu nikienda kuuliza salio tu nakatwa looo!

Kama pesa ni yako kwa nini usiwe na kimbukumbu ya Salio lako? Unataka mwingine aweke kumbukumbu kwa ajili yako bure? Mm nikiwa na milioni , nikitoa laki najua watakata chaji then balance xxx sasa wewe unatoa alaf unataka kimei akumbuke umetoa ngapi imebaki ngapi ....bure? Kila kosa litatozwa!
 
Sawana,


Hizi ni pesa nyingi ila nionavo ni mfumo wa nchi yeti kuwa mbovu ila crdb wanajitaidi, au mkuu ni benki gani hapa Tanzania waweza KUTOA milioni moja at per kwenye ATM? Nikiijua kesho nawahi kufungua Akaunti, je kutoa milioni moja kwenye MPESA chaji yake sh ngapi?

jana nimetuma hela kwa mpesa, wakala akaniambia nimpe na mia tano ya kutuma, eti bado na niliyemtumia elfu30 anakatwa tena zaidi ya 700 dah bora benki aisee!!
 
Last edited by a moderator:
CRDB ukiangalia salio tu simbanking, wanakata, lakini NMB-mobile sijaona haya mambo. Kweli watanzania tunanyonywa.
 
Tuacheni kulalamika sana. Bank wanategemea hayo makato kuhakikisha unapata huduma nzuri. Heri ungepoint #vodacom ndo kiboko
 
Ukiwaita CRDB wezi unakosea sana,wewe sema gharama zao zipo juu kulinganisha na watoa huduma wengine. Kumbuka ulivyojaza fomu zao kuna kipengele cha Terms and Conditions,nakushauri argue kwa hoja na siyo kupakaza,
 
Umelinganisha crdb na benki gani? Au imewakilisha benki zingine tu?
 
At least Equity bank...Njoo equity bank Hamna fees nyingi na zilizopo ni ndogo sana.
 
Kama unaona ni gharama sana si uweke hela ndani, hutalipa ukitaka kuzitumia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom