Recent content by sondewanjara

  1. S

    JamiiForums Tanzania MUHIMU: Tuma maoni yako ya Rasimu ya Katiba Mpya, Mabaraza ya CHADEMA

    Neno pasipo kuathiri sheria nyingine kama linavyotumika kwenye rasimu liondolewe kabisa kwenye katiba mpya ijayo na neno sheria zingine zitakazotungwa na bunge liondolewe kabisa,na katiba mpya ijayo ibahnishe wazi kuhusu nani awe boss
  2. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamepewa mabilioni kuchafua zoezi la Katiba mpya - Nape

    nadhani nape anatakiwa kwenda naye nje ya nchi ili naye akapewe matrioni ya kuja kuboresha mchakato wa katiba na siyo kulalamika,atuache watanzania hatutaki uccm wake ebo.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Kongamano la amani ya Tanzania - Julai 28, 2013

    subiri kidogo utapata picha
  4. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Kongamano la amani ya Tanzania - Julai 28, 2013

    namsubiri kamanda lisu.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mh Mwigulu adhalilisha walimu wa UDSM

    achaneni na huyo jamaa mi namjua siyo prof wala nini anasomba maji kwa mkokoteni hapa kijijini kwetu kagu.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Polisi wahaha juu ya kauli ya CHADEMA kuimarisha ulinzi wa viongozi kupitia Red Brigade

    we acha udharimu wa ccm ukomeshwe
  7. S

    JamiiForums Tanzania TAARIFA: Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA - Rasimu ya Katiba, Hali ya Siasa, Uchaguzi

    CHADEMA mko sawa keep it up, CCM ni wepesi hawana chochote hapo mtadhibiti .
  8. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za fitina na uongo wa kusingiziana zinaendelea

    kwani kotena zilizosemekana kuwapo bandarini zikiwa na nembo ya M4C, Ambazo hazijaagizwa na cdm siyo siasa chafu? zungumzia na hilo basi!
  9. S

    JamiiForums Tanzania SMART Partnership Dialogue in Dar es Salaam - Tanzania

    telemedicine wapi! we acha tu ccm yenu itumalize ani watu wanjadili kuondosha madini yetu we unadanganyika telemedicine,tulia!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Spika Makinda alia na Waandishi wa habari!!

    Msisumbue vichwa anna anapendelea kabisa namjua.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Padri,mlipuko wa bomu Kanisani FBI waitwa! Bomu Soweto CHADEMA watoe Ushahidi!

    yana mwisho,lkn kama serikali na ccm wanaamini ni CDM.si wakamatwe?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Images: Pres Barack Obama in Senegal

    kwenye ushoga ndo tugome!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Obama kuwasafisha Lowassa na Rostam!

    Huyo obama hata afanyeje lowasa na rostam hawasafishiki hata wakipelekwa kiwanda cha omo wao ndo wakawa material
  14. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

    mbona hauoji ccm ambao wapo cku zote madarakani? kuwa mwelewa acha kuangalia tu baba ko ni nani ktk ccm,
Back
Top Bottom