Recent content by son p

  1. son p

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Siku kama 10 zilizopita nilifikia guest flani huo mkoa kuna baridi sana , dada wa guest akahaidi maji ya moto atanipashia kama ndio kigezo kikuu cha kulala hapo basi nikasema sawa . Siku inayofatia asubuhi niliwahi kuamka kabla yake ikabidi nimfate kumgongea anipatie maji kugusa kitasa mlango...
  2. son p

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Kukumbushana

    Yaani umefikiri jambo zito nimekuelewa na nitalifanyia kazi
  3. son p

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu juu ya Uchaguzi Mkuu na hali ya kisiasa miaka 10 ijayo

    Ndio tatizo LA kutokumpangia idadi ya kilevi mtu kunywa mwishowe pombe ndio inaongea
  4. son p

    JamiiForums Tanzania Nani Mkali kati ya Diamond na Chris Brown?

    Sasa wewe unashindanisha mwendokasi wa baskeli na pikipiki
  5. son p

    JamiiForums Tanzania Je komputa yako ina Tatizo Lolote? Ilete kwa mtaalamu aitibu

    Poa kamanda
  6. son p

    JamiiForums Tanzania Je komputa yako ina Tatizo Lolote? Ilete kwa mtaalamu aitibu

    Internal speaker ya HP pavilion g6 model 2230tx unayo na unauza bei gani nijue nije nikucheki au la
  7. son p

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kompyuta (Hardware & Software)

    Internal speaker ya HP pavilion g6 model 2230tx unauza bei gani na kama betri ipo bei gani
  8. son p

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu limao na kupunguza "Cholesterol" (mafuta) mwilini

    Mdau yeyote anayeweza kunijulisha hospitali ya allerg kwa dar es salaam ninasumbuliwa na pua kuziba sana niliambiwa ni allerg sijajua ni hospitali gani inachombo cha kupima
  9. son p

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Meya Ilala: CCM wasusa na kutoka nje, wapata kura 0 na UKAWA 31

    Safi sana ccm Mbele kwa Mbele imekuwa virse versa is true
Back
Top Bottom