Utabiri wangu juu ya Uchaguzi Mkuu na hali ya kisiasa miaka 10 ijayo

Miaka 10 imetimia....kwasasa inaumwa......"CORRUPT SYSTEM DOES NOT LAST"......HAKUNA KIPOFU ANAYEWEZA KUONE.....HATA NIKIKUAMBIA ONA HAITASAIDIA KITU
 
Alafu unajiita Professor? hii ni shida ya Elimu maana umemalizia na matusi kabla hata haujatukanwa huu ni upungufu wa ufahamu.
Mchambuzi huwezi kuwa na "Bias"
Hapa umeonyesha wazi wewe umetumwa na CCM na uchambuzi wako ni wa kumtuka lowasa akili 0.
hata Dr. Banna pamoja na kwamba yeye ni mwana-CCM hawezi kutoa uchambuzi kama huu hata siku 1.
huu ni zaidi ya Upumbavu na upungufu wa fikra.
Nakutakia siku njema uwe unachambua hata ccm inapoleta watu kutoka Zanzibar kuja kupiga kura za Meya Kinondoni.
Pia ni vema ukachambua kuhusu uchaguzi uliofanyika siku moja na watu wale wale huku bala ccm imeshinda ila zanzibar haukuwa huru.
Tafakali kabla ya kuropoka
NAITWA PROFESSOR
 
Ndio tatizo LA kutokumpangia idadi ya kilevi mtu kunywa mwishowe pombe ndio inaongea
 
Back
Top Bottom