Fundi wa kompyuta (Hardware & Software)

Baraka Rabson

Member
Sep 9, 2014
64
16
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer... Kama haiwaki au ipo slow, Ku-install Windows XP,7,8,10 au Apple OS. Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk.

Ofisi ipo Kariakoo mtaa wa Msimbazi.

Kwa mawasiliano piga simu No. 0676040772..
 
Internal speaker ya HP pavilion g6 model 2230tx unauza bei gani na kama betri ipo bei gani
 
Kaka ingekuwa vyema ukafika ofisini...ili tuangalie kama hizo spika zinaweza kurekebishika kabla ya kuweka mpya...pamoja na hyo betri.
 
Back
Top Bottom