Wacha weeee molemo, lakini mpira unadunda Lipuli ya Iringa wanaweza kumfunga FC Barcelona. Si unamhonga tu refa halafu anawapa penati? Halafu refa akifukuzwa kazi anapewa mshiko na Lipuli iliyochukua Kombe.Shtuka. Unafikiri Lipuli wanaingia kwenye mechi hawapigi mahesabu???
Jumapili iliyopita (15 Jan 2015), Rais JK na Mbowe walikutana kwa siri, kilichojadiliwa pia kikawa ni siri. Gazeti la kiukweli la kimombo' The citizen' limetoa nyeti hizo ukurusa wa mbele bila chenga. Mbowe akaulizwa kwa simu, naye akikri kuwa ni kweli walikutana. Alipoulizwa mlijadili nini...
NSSF walimhonga nyumba maeneo ya tabata ili yeye awapigie debe wapewe mgodi wa Kiwira. Ushahidi upo. Hawezi kuwa mkiti.
Vipi uswahiba wake na Jack Zoka, NAIBU MKURUGENZI WA USALALA WA TAIFA AMBAYE TULIJUZWA NA MWANAHALISI KUWA WAKATI WA UCHAGUZI MKUU WALIKUWA WANAPIGIANA SIMU ZAIDI YA MARA...
Zitto yuko katika faili ya hosea wa takukuru kuna ushahidi wa uhakika kuwa yeye na kamati yake walikula posho mbili kwa siku moja. Anaweza kamatwa siku yo yote hosea akiamua. Zitto anajua hilo.
1Zitto na kamati yake wote walikula posho mbili iliyofanya Bunge lishindwe kumwondoa Hosea wa TAKUKURU. Kwa hiyo, TAKUKURU saa yoyote inaweza kumkamata zitto ikitaka. For the time being ccm anafanya vile vitu serikali imekubali afanye. Akitoka anakamatwa zitto kama anabisha akanushe hili...
Hizi ni hisia zako, hakuna mtu toka ccm anayeweza kumzidi Dr Slaa. Dr Slaa ni chaguo la watz na ccm na chadema wanalijua hilio. Zingine zote ni story za kufurahisha baraza tu.
Wewe sijui unafikiri kwa kutumia nini?
Hivi, wewe jana ulilalama kuhusu madiwani Arusha. leo umekuja na mengine. Nape hajambo. Vipi kuhusu magamba. Au una salama za shangazi wa magamba, CAFU?
Zitto Kabwe na Dr Kitila Mkumbo ni marafiki wa muda mrefu. Urafiki huo ulianza Chuo kikuu cha Dsm pale ambapo Dr Kitila alimbeba Zitto hadi akafanikiwa kuwa Katibu DARUSO.
Baadaye Zitto akaukwaa ubunge. Makada wa CCM wakatofautiana kuhusu mkataba wa Buzwagi. Wakampa Zitto deal la kulipua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.