Zitto Kabwe kumponza Dr Kitila Mkumbo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto Kabwe kumponza Dr Kitila Mkumbo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SON OF DAVID, Aug 10, 2011.

 1. S

  SON OF DAVID Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Zitto Kabwe na Dr Kitila Mkumbo ni marafiki wa muda mrefu. Urafiki huo ulianza Chuo kikuu cha Dsm pale ambapo Dr Kitila alimbeba Zitto hadi akafanikiwa kuwa Katibu DARUSO.

  Baadaye Zitto akaukwaa ubunge. Makada wa CCM wakatofautiana kuhusu mkataba wa Buzwagi. Wakampa Zitto deal la kulipua akapata umaarufu. Uchaguzi wa Chadema 2009 akambeba Dr Kitila kuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia umaarufu wake. Dr Kitila na Zitto ni wajumbe wa kamati hadi sasa.

  Chanzo cha kuponzana;

  1) Mwaka 2009 Zitto akataka kumvaa Mbowe kabla wazee hawajamshauri atoe kwa (HIARI?) Katika mchakato huo Dr Kitila alimuunga mkono Zitto waziwazi dhidi ya Mbowe. Dr Kitila akasema yeye ni mshauri wa kisiasa wa Zitto. Wote wakakwama.

  2) Mapema mwaka huu baada ya Shelembi kufa. Zitto alishirikiana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Shinyanga kumteua Shibuda chap chap ndani ya wiki kurithi nafasi ya marehemu (uenyekiti wa Chadema mkoa wa Shinyanga) Hoja ikapelekwa kamati kuu. Zitto, Mama Zitto, Dr kitila na Shilungushela wa shinyanga wakawa ndo watu pekee waliomtetea Shibuda abaki ktk nafasi hiyo. Wajumbe wengi wote wa kamati kuu walimpinga Shibuda. Mapacha hawa nao wakakwama tena. Shibuda akatimuliwa ktk nafasi hiyo.

  3) Hivi sasa kuna fununu kuwa mshauri huyo wa Zitto wanatafakari nafasi ya kumpa ikiwemo ukatibu mkuu wa Chama (Nafasi ya Slaa). Je, watafanikiwa? Harakati hizi zinaendelea wakati ambao Dr Kitila anajua uswahiba kati ya Zitto na Jack Zoka (Mkurugenzi mkuu msaidizi wa usalama wa Taifa) na Rostam Aziz zilizowekwa hadharani na gazeti la MwanaHalisi.

  Sijapata msimamo wa Zitto na Kitila ktk suala la kutimua madiwani wa Arusha.
   
 2. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  Huu ni uongo, Dr. Kitila hakuwa chuoni pamoja na Zitto, na Zitto hakuwa kiongozi kwenye serikali ya Kitila kwa hiyo tuliosoma hesabu za kukokotoa hii habari inakuwa ni ya kutunga. Halafu Dr. Kitila ni mtu mwenye msimamo na huwa hachukuwi misimamo ya watu. Namjua na sidhani kama ni mshauri wa kisiasa wa Zitto zaidi ya wote kuwa CDM na viongozi.

  Dr. Kitila anaheshimu sana kazi alizofanya Mbowe na Dr. Slaa CDM, hana uchu wa madaraka. Na wakati ukifika anaweza kuwa kiongozi sio ubaya.
   
 3. F

  Froida JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Too Late it wont work
   
 4. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Kuna kaukweli ila kaweke sawa,kuna vitu hujui na mii siwezi sema maana sio mahali pake
   
 5. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  sijaona hoja hapo,kamponza vipi sasa au ulitaka na wewe uonekane kuwa unawafaham uswahiba kati dakt mkumbo na zt
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kuna maswali mengi sana juu ya 'peace' ndani ya CHADEMA wakati/baada ya kinyang'anyiro cha urais 2015. Nadhani ingekuwa vizuri CHADEMA waanze kuwekeza kwenye safu ya kusimamia maamuzi magumu na kutatua/kudhibiti potential cracks.

  CCM wameshaonesha madhara ya kushindwa kuhimili migongano na kudhibiti mitandao ndani ya chama, hivyo CHADEMA wachukue somo na kujiweka sawa.
   
 7. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mjomba Umekurupuka. Burning issue iliyopo ni Mafuta kwa sasa usitake kuipotezea. Na nyingine ndogo ni Je Mh. Mtemvu na Zungu wanafikiri kwa kutumia Makalio?!
   
 8. H

  Hurricane Member

  #8
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwani Zitto kasoma lini UDSM na Dokta Kitila lini?? Au unataka kusema alimbeba wakati yeye akiwa mtumishi wa chuo na Zito mwanafunzi?? Kama ndivyo, unatuambia DARUSO si taasisi huru kama wengine tunavyodhani?? Acha pumba wewe, umechelewa!!!
   
 9. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,420
  Likes Received: 3,768
  Trophy Points: 280
  Kumponza vipi..??
   
 10. PEA

  PEA Member

  #10
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna hoja hapa ila umechemsha namna ya kupresent. Kajipange upya
   
 11. T

  Tata JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,736
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Hii siyo ndogo hata kidogo. Ikithibitika viongozi wetu, yaani baadhi ya wabunge, wanafikiria kwa kutumia makalio badala ya vichwa maana yake ni kuwa hata waliowachagua nao wana tatizo hilohilo. Kwani viongozi ni mazao na wawakilishi wa jamii wanazoziongoza. Kwa kuwa hawa wabunge waliotuhumiwa wote ni wa Jiji la Dar es salaam ina maana wakazi wengi wa Jiji wanafikiria kwa kutumia makalio badala ya vichwa. Sasa hebu fikiria kama jiji la Dar ambalo ndio kitovu cha uchumi wa nchi na ndilo lenye wasomi wengi zaidi nchini lina wakazi waliochagua watu wenye kufikiri kwa makalio vipi huko Tarime na Rorya kwa akina Lameck Airo?
   
 12. P

  Phoibe mshana Member

  #12
  Aug 10, 2011
  Joined: Sep 19, 2007
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamponza kivipi?
   
 13. L

  LAT JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  atakayeamini upuuzi huu ni mtu aliyechizika
   
 14. S

  SON OF DAVID Member

  #14
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Zitto anatiwa mashaka mengi hivyo, na yeye pia anajiingiza ktk mtego huo kwa kuungana naye bila sababu ya msingi. Huko ndiko wanakoponzana.
   
 15. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #15
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha nimependa sanaa signature yako, sasa hapo ungeongezea ""mi siwezi omba mvua ikanyesha""
   
 16. i

  ikhwan safaa Senior Member

  #16
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  another day another conspiracy theories from JF home of the SMALL THINKERS
   
 17. boss80

  boss80 Member

  #17
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  [atakayeamini upuuzi huu ni mtu aliyechizika]

  Labda na yeye atakuwa anatumia ****** kufikili badala ya kutumia kichwa!! ha ha ha ha ha ha ha ha ha siasa za bongo bwana unaweza kuwa chizi hv hv!!!
   
 18. boss80

  boss80 Member

  #18
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Labda atakuwa anatumia makalio kufikilia badala ya kutumia kichwa. Eti baadhiya wabunge wa dar, bora mimi mbunge wangu sio wa dar, kuna uwezekani yeye akawa hayumo kwenye kundi hili maana kura yangu ingeniuma sana kama niliyemchagua atatumia mawowo kufikili badala ya kutumi mbongo!!!!
   
 19. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sijaona hoja hapa.... labda uiweke sawa mheshimiwa.
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kama una akili sana katatue matatizo ya mafuta na umeme

  sio kila wakati kuleta umbea

  Ni watu kama wewe ndio wanaotuletea mikosi tanzania.... umbea, umbea na umbea tu

  badili jina lako weka jina linaloendana na mindset yako
   
Loading...