Recent content by Son of a Pagan

  1. Son of a Pagan

    JamiiForums Tanzania Kafulila azichana hoja za Zitto kuhusu uchumi wa kati

    Mkuu mbona makala imenyooka vizuri tuu.
  2. Son of a Pagan

    JamiiForums Tanzania Kafulila azichana hoja za Zitto kuhusu uchumi wa kati

    Hapa yeyote mwenye mapenzi na nchi ataamua kuunga juhudi tuu. Ufafanuzi umenyooka ipasavyo.
  3. Son of a Pagan

    JamiiForums Tanzania Kafulila azichana hoja za Zitto kuhusu uchumi wa kati

    Hapa kadadavua vema.
  4. Son of a Pagan

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta soko la Rosela

    =
  5. Son of a Pagan

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta soko la Rosela

    Mkuu tuelekezane tafadhalu
  6. Son of a Pagan

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta soko la Rosela

    Wapi huko mkuu?
  7. Son of a Pagan

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta soko la Rosela

    Habarini wana jamvi, Kama kichwa kinavyosomeka. Mimi nipo Geita na nina takribani gunia nne za hilo zao na bado naendelea na uvunaji. Natafuta mtu anayehitaji hii bidhaa nimuuzie. Nikipata maelekezo pia kuhusu mahali ambapo naweza kuuzia itakuwa ni vema pia. Nitasoma replies pia. Naombeni...
  8. Son of a Pagan

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta soko la Rosela

    Hizo hapo mkuu
  9. Son of a Pagan

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta soko la Rosela

    Habarini wana jamvi, Kama kichwa kinavyosomeka. Mimi nipo Geita na nina takribani gunia nne za hilo zao na bado naendelea na uvunaji. Natafuta mtu anayehitaji hii bidhaa nimuuzie. Nikipata maelekezo pia kuhusu mahali ambapo naweza kuuzia itakuwa ni vema pia. Nitasoma replies pia. Naombeni...
  10. Son of a Pagan

    JamiiForums Tanzania Makonda: Dar hali si shwari, watu wanapukutika. Walio nje ya mkoa huu bakini huko!

    Hilo tunalijua kwamba wanapukutika; Mleta taarifa labda uchimbue kidogo utuletee vyenye mantiki, hasa mikakati zaidi ya hilo la kutoenda Dar.
  11. Son of a Pagan

    JamiiForums Tanzania Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

    Nimefuatilia Story na comments. Mazuri niliyochota hapa hayaelezeki... Ahsanteni nyote kwa kushea na kushiriki ipasavyo. jooohs umetisha sana
  12. Son of a Pagan

    JamiiForums Tanzania Kuwa mkweli. Unabadilisha shuka ya kitanda mara ngapi kwa wiki?

    Wewe ni KE au ME? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Son of a Pagan

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la Kidiplomasia: Diamond Platnumz Apewe Pasi ya Kibalozi (kama hana)

    Hiyo namba nne imekaa poa sana Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Son of a Pagan

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kama kuna mwendelezo nitag mkuu nahofia kukosa hii kitu sababu kurasa nyingi alafu siku hizi majukumu mengi napita mara chache huku jf Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom