Makonda: Dar hali si shwari, watu wanapukutika. Walio nje ya mkoa huu bakini huko!

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
Mkuu wa Mkoa Dar, Paul Makonda akihojiwa na Clouds Tv kwenye kipindi alichokiita Kikao cha Familia Dar chenye lengo la kupanga mikakati ya kifamilia kukabiliana na COVID19, amewataka watanzania walio nje ya mkoa wa Dar kubaki huko huko kwasababu Dar hali sio shwari na watu wanapukutika sana.

IMG-20200421-WA0045.jpg
 
View attachment 1426002
Hilo tunalijua kwamba wanapukutika;
Mleta taarifa labda uchimbue kidogo utuletee vyenye mantiki, hasa mikakati zaidi ya hilo la kutoenda Dar.
 
Mkuu wa Mkoa Dar, Paul Makonda akihojiwa na Clouds Tv kwenye kipindi alichokiita Kikao cha Familia Dar chenye lengo la kupanga mikakati ya kifamilia kukabiliana na COVID19, amewataka watanzania walio nje ya mkoa wa Dar kubaki huko huko kwasababu Dar hali sio shwari na watu wanapukutika sana.

View attachment 1426002
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Natamani Ndugai angekuwa na ujasiri kama huu wa RC Makonda!
 
Back
Top Bottom