Recent content by somoye

  1. S

    Read between the lines; single lady 30's inakuhusu

    tena wanaume wengine ndio hao kuchwa kutesa mabint za watu. na bado mpaka sasa aja oa+30 nakujifanya bado wanafanya mazoezi kwenye mili za mabinti za watu
  2. S

    Read between the lines; single lady 30's inakuhusu

    root mi kwa kuangalia tu comment zako we ndio umechoka mpaka ukimwagiwa mchuzi hakuna anaye kulambaaaa.. alafu hongera maana ndugu zako wa kike wote wamestaff kufanya umalaya i mean hauziki mitandaoni.. for those women above 30 tena tembeeni kifua mbele kila mtu kwani mtapata wa kwenu
  3. S

    Nimemchomea mke wangu kazini kuwa anatumia cheti feki

    Matola kuandikisha vitu au urithi ni jambo muhimu sana unaweza kufanya ivyo na ikabaki ni siri yako mpaka majanga kama haya yatokee maana ni vizuri zaidi kuliko timbili linatokea mnafanya maamuzi ya kuumizana baba na mama bila kuangalia upande wa pili je maamuzi yenu yanawanufahisha nyie wawili...
  4. S

    Wanawake wa Machame mbona wanafanya hivi?

    izi ni imani za kijinga ambaozo azina mashiko, mbona kuna makabila ambayo nayo yanasifa mbaya kuzidi hawa, kuna wahaya, wahehe, watu wakusini, singida, wasukuma, watu wapwani, all tabia ya mtu anayo mwenyewe au anaweza kujifunza. pili wachaga kwa wachaga wanaoowana wao kwa wao kwa sababu...
  5. S

    Nimemchomea mke wangu kazini kuwa anatumia cheti feki

    mi sidhani kama ni sahihi ulivyo fanya unaweza kufurahi kwa sasa umemuweza ila ungetumia njia nyingine sio kumfukuzisha kazi. pili ni vizuri kama wazazi tunapojenga au kununua vitu ni bora majina ya docoments yaandikwe majina ya watoto maana mwisho wa siku maisha tunaandaa kwa ajili ya watoto.
  6. S

    Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    ngombezi alafu ukimuoa na akaamua kuzaa njee ya ndoa na yumo ndani ya ndoa ipo inakuwa vipi:wacko::wacko::sleepy:
  7. S

    Kwa waliozaa kabla ya ndoa

    yaani ukiona mwanamke anaye mzuia mwanamke mwenzie asije mwona mwanae hapo jua kunatatizo. jamani kwani huyu kaka akiamua kurudi kwa huyo alie zaa nae utamfanya nini?? bro huyo mama ana haki ya kumwona mtoto. kama inawezekana mpeleke boarding mtoto ingwa me sihafika kabisa. ili kili mtu awe na...
  8. S

    Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    itara umenena vizuri kabisa.. ndio maana kwenye makabila mengine kama mume umeoa mke ana watoto na unawatunza wewe basi watoto watatambulika kama wako wewe unaewatunza na ikitokea yule mwanaume anataka mtoto wake basi ni lazima akulipe wewe kwanza ndio umpe mtoto yaani kwa maana nyingine analipa...
  9. S

    Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    naheshimu mawazo yako.
  10. S

    Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    watu wengi hasa wanaume huwa lawama zote tatizo linapotokea lawama zote zinakuja kwa wanawake likini swali la kujiuliza hawa wanawake wanazalisha na kina nani?? kuoaa mwanamke alie zaa mie sioni kama ni tatizo maana toka mwanzo hiyo mila ilikuwepo ma kabila mengine waliita nyumba NTOBO kaama...
  11. S

    Baadhi ya vijimambo vya wanawake katika kuwadanganya wanaume

    ila nyie ndio kutudanganya mwanzo mwisho. ila mie naona kila mtu anapenda kutanganya kwa ajili ya kupata ananalotaka
  12. S

    Friends with benefit, nimepewa masharti magumu

    suprise ilo lililo toke ni wote a kulaumiwa, unajua ata kwa watu wengine huwa inawatokea ata mkiwa jinsia mpo sawa mfano wewe una rafiki wa kike na mmezoea kupita maeelezo ndio msiri wako na ndio mtu wa karibu alafu anatoke mtu mwingine nae anakuwa rafiki wa huyo rafiki yako ule urafiki wenu...
  13. S

    Adui wa Mwanamke

    jamani duniani pote kauli mbiu iliopo ukimwelimisha mwanamke umeelimisha jamii zima ndivyo tunavyo jua na pia ukitaka mapinduzi ya kweli anza na wanawake kwanza wana convicing power ya kutosha, pia ni wengi. lakini tatizo ni pale wanawake kwa wanawake huwa kupendana hakupo kila sehemu je...
  14. S

    Stories za wachumba wa Jamiiforums

    Lara sikuizi ni kujiongeza tu mtu akikutongoza unamwambia mie elimu darasa la saba na kazi sina au unataja kazi ambayo ataidharau lazima atoke nduki yaani kuna wanume wanapenda jamani free p duuh bora ubaki single na kuwaumiza wao tu
  15. S

    Naombeni sana msimpe ushirikiano wowote demu huyu kwa sababu anataka kuniingiza mkenge

    ila humu ndani kuna viumbe jamani.. bro wakati unamtongoza huyo dada mpk ukafikia hatua ya kutembea na kavukavu si ulijua unapanda na mazao ndio hayo. alafu jamani kwa nini wewe ndio uanze kuja kujitetea hapa kwenye jukwaa? me nadhani ujatumia busara na uanaume dhabiti ungekaa kimya kwanza...
Back
Top Bottom