Recent content by Soloka

  1. Soloka

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu SSRA: Kiuhalisia michango yote ya mstaafu ni 20% ya mshahara wake so 25% inampa ziada ya 5%

    Wewe ndo umeona wakulima siku zote sio waelewa....acha kutoa maneno usiyoyajua!
  2. Soloka

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwongozo kuhusu maombi ya verification award Nacte

    Ingia kwenye portal yao ya Award verification Number pale weka vitu vyote vinavyotakiwa kisha system yenyewe itakutaka ulipie hiyo 10,000/- mara hatua ya malipo itakapofika
  3. Soloka

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyetuma picha za Nyufa za Hosteli za Magufuli UDSM akamatwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Kama huna cha kuchangia kaa kimya! Unaongea kama siyo mtanzania. Fedha zilizojenga hizo hosteli nibza kwetu sisi wananchi na tunapoona ujenzi chini ya kiwango lazima tupaze sauti zetu!
  4. Soloka

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA TEKIHAMA: Nimeibiwa TECNO BOOM J8, nawezaje kumkamata mwizi!

    TEKIHAMA au TEHAMA??
  5. Soloka

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya TCU baada ya kauli ya Rais Magufuli?

    Usishabikie mambo usiyoyajua! Nakushauri ukae kimya katika hili!
  6. Soloka

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya TCU baada ya kauli ya Rais Magufuli?

    Subiri uanze huo mfumo wa maombi wa zaman ndo utajua kuwa haukosahihi kumuunga mkono rais!
  7. Soloka

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya TCU baada ya kauli ya Rais Magufuli?

    Sio lazima useme, waweza kukaa kimya maana unaonekana hujui CAS ilivyokuwa inafanya kazi na faida zake!
  8. Soloka

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Flyover ya Ubungo, amtaka RC Paul Makonda achape kazi

    Gwajima sasa ashitaki kwa Mungu kama alivyosema!
  9. Soloka

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda avamia Clouds Media na kuwatisha SHILAWADU

    Jmn tuwekeen hiyo link ya video na sie tuione
  10. Soloka

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam azindua barabara ya Shimo la udongo

    Daud Bashite wewe ni jembe, kutoka division Zero hadi Ukuu wa Mkoa! I salute!!
  11. Soloka

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam azindua barabara ya Shimo la udongo

    Daud Albert Bashite!
  12. Soloka

    JamiiForums Tanzania Irrigation Schemes ndo ukombozi wa kiuchumi Tanzania

    Ni kweli kabisa hili ndilo jibu la njaa wakati huu wa climate change
  13. Soloka

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Kaah! Tatukuru au TAKUKURU, kweli ulimi hauna mfupa
Back
Top Bottom