Tetesi: Mwongozo kuhusu maombi ya verification award Nacte

Berther patty

Member
Jul 27, 2018
34
95
jaman msaada mimi nahitaji kuomba verification award lakin sijajua natakiwa mda gan kufanya malipo take elf 10 kabla y kutuma maomb yang au wakishanijibu..msaada jaman
 
Soloka

Member
Feb 20, 2012
23
45
jaman msaada mimi nahitaji kuomba verification award lakin sijajua natakiwa mda gan kufanya malipo take elf 10 kabla y kutuma maomb yang au wakishanijibu..msaada jaman
Ingia kwenye portal yao ya Award verification Number pale weka vitu vyote vinavyotakiwa kisha system yenyewe itakutaka ulipie hiyo 10,000/- mara hatua ya malipo itakapofika
 
Berther patty

Member
Jul 27, 2018
34
95
Ingia kwenye portal yao ya Award verification Number pale weka vitu vyote vinavyotakiwa kisha system yenyewe itakutaka ulipie hiyo 10,000/- mara hatua ya malipo itakapofika
Mimi nilishasubmit nimepewa masaa ya kusubir lkn cjlpia bado..nifanyaje
 
Ramadhan James

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
2,232
2,000
Ingia kwenye Tovuti ya www.nacte.go.tz
(ii) Fungua/Click NAVS ( National Award Verification System) kisha jisajiri na uendelee na maelekezo yap kadri wanavyotaka.
Mwisho tumia Laptop kwa urahisi.
 
Ramadhan James

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
2,232
2,000
Kaka ramadhan hayo nishafanya mpaka nimesubmit lakin sijajua malipo natakiwa nifanye baada ya kujibiwa au kabla ya Mimi kutuma taarifa

Mmmmh! Pole sana ila Kuna namna ya kulipia Pesa wameelekeza pale, Pesa unalipia kabla ya hatua ya mwisho ambayo ni kuomba hiyo AVN.

Ebu jaribu kurudia kusoma Msimbo/Code kutoka VodaCom na Ujaze upya.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom