Je mkuu mfano Babu yako alikufa na amerudi kwene asili yake kamaulivosema sis tuliobaki tukiziomba baraka zake hua zitatufikia? Au mtu akifa ndio hawezi kuutambua ulimwengu aliotoka Tena?
Naomba uniambie na mm hii in maana gani. Nimeota mm Ni mlinzi wa rais kikwete pia kipindi Cha magufuli nimeota nipo ikulu namlinda magufuli na ananipa maelekezo nafuata, wakati wasamia pia nimeota namlinda waziri mkuu majaliwa. Pili naota Sana naokota matunda Aina ya parachichi sanyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.