Ni ipi miti bora ya kilimo cha mbao?

filbath

filbath

Member
Joined
Jan 25, 2019
Messages
8
Points
45
filbath

filbath

Member
Joined Jan 25, 2019
8 45
Samahani ntajibu kwa kifupi,kuna aina nyingi za miti ya mbao,lakin kwa kwa upande maeneo niliyopo mimi iringa(mufindi) paina (misindano) inafanya vizuri sanaa ndio maana hata selikal ina mashamba makubwa sna sao hill,pia kuna miti ya nguzo ambayo inauwezo wa kutoa mbao na nguzo pia.umri wa kuvunwa ni kwansia miak sita,na kwa ekar mojaa unawezaa tengenezaa hela ndefu.
 
cliff wyn

cliff wyn

New Member
Joined
Jan 29, 2017
Messages
3
Points
45
cliff wyn

cliff wyn

New Member
Joined Jan 29, 2017
3 45
Kilimo cha Miti Kina Hadithi nyingi za kufikirika.
Toka episode ya 2017 - 2019 Nashuhudia mgongano Mkubwa wa michango ya mawazo ya wadau.
Zaidi sana ktk kupata uhakika wa Umri wa Mti uliokomaa na kustahili kuvunwa, sambamba na Jiografia yake.
Wengi wanasema miaka 15 - 20.
Wengine wanasema 7-8.
Mwingine amehitimsha kwa kusema 30.
Kwa Ufahamu huo, Mimi najiuliza,,,,,,,Hakuna hata Muhusika mmoja toka Taasisi zinazojihusiha na kilimo cha miti, mwenye moyo wa kutupa data za uhakika juu ya hayo?
Au MPAKA tuwafuate maofisini mwao?
UHAKIKA HULETA USHAWISHI NA MATOKEO HUWA CHANYA.
 
Sunguratope

Sunguratope

Senior Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
171
Points
250
Sunguratope

Sunguratope

Senior Member
Joined Oct 3, 2011
171 250
Kilimo cha Miti Kina Hadithi nyingi za kufikirika.
Toka episode ya 2017 - 2019 Nashuhudia mgongano Mkubwa wa michango ya mawazo ya wadau.
Zaidi sana ktk kupata uhakika wa Umri wa Mti uliokomaa na kustahili kuvunwa, sambamba na Jiografia yake.
Wengi wanasema miaka 15 - 20.
Wengine wanasema 7-8.
Mwingine amehitimsha kwa kusema 30.
Kwa Ufahamu huo, Mimi najiuliza,,,,,,,Hakuna hata Muhusika mmoja toka Taasisi zinazojihusiha na kilimo cha miti, mwenye moyo wa kutupa data za uhakika juu ya hayo?
Au MPAKA tuwafuate maofisini mwao?
UHAKIKA HULETA USHAWISHI NA MATOKEO HUWA CHANYA.
Mjumbe......ume generalise sana.......'umri wa mti uliokomaa na kuvunwa' inategemea specie na sababu ya mti kuvunwa.....kwa mfano Eucalyptus unaweza kuvuna kwaajili ya mbao,kuni, ama fito. Katika kila sababu kuna miaka yakuvuna (na saa nyingine sub speicie zinaweza kutofautiana), kwa mfano mbao inaweza ku range 10 to 15 lakini kama unataka mbao ya 10 by 1 huwezi kupata within that time itabidi usubiri hadi 20 years, kuni baada ya miaka mitatu unaweza kuanza kupron kwaajili ya kutengeneza then from 5 years unaweza kuanza kuvuna kwaajili ya mirunda, then 10 unaweza kuvuna kwaajili ya pole..........nacho jaribu kukueleza ni kwamba kila mti unaspecificity zake.......nenda TAFORI watakusaidia hawezi kuja mtu hapa akakuueleza za miti yote
 
Forum statistics

Threads 1,304,164
Members 501,290
Posts 31,505,016
Top