Recent content by solex

  1. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    CCM wajiandae kukabidhi NCHI kwa amani mwakani, wakikataa tutawalazimisha.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tunduma UKAWA wafunika kufunga kampeni za uchaguzi Serikali za Mitaa

    safi sana UKAWA go ahead
  3. S

    JamiiForums Tanzania CUF wamewawaekea pingamizi CHADEMA Serikali za mitaa Geita

    baada ya desember 14 2014 ndo utajua kuwa UKAWA wapo HAI
  4. S

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya Kampeni (05 Dec 2014)

    get well soon kamanda
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hofu ya watawala: Wafufua kesi ya ugaidi, kusikilizwa leo

    CCM kwa sasa wamekamatika kila wanako gusa wanapigika :msela::msela::msela:
  6. S

    JamiiForums Tanzania Makatibu wakuu wapya wa CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu 2015

    Hongera sana safu ya uongozi mpya CHADEMA siyo siri safu hii ni ya BIG RESULTS CDM.!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Imedhihiri: Tundu Lissu ni Adui Mkubwa wa CHADEMA

    Lissu ni mwiba mchungu kwako mtoa hoja na magamba wenzako! hoja yako ni nyepesi mno na laini zaidi ya maini.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Madiwani walioasi CHADEMA warejea kundini

    Wote wanao nunuliwa na ccm watatumika kama toilet paper.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

    Akafie mbali Msaliti ambaye mawazo yake yana milikiwa na maccm! atasubir sana kuona UKAWA inaanguka!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    dr.Slaa
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe awagomea polisi kushuka jukwaani Kibaha

    Tuendelee kushikamana safari ya ukomboz imejaa matumaini ya ushindi.!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Chadema yaiteka Ngara kwa kishindo

    jana katika viwanja vya posta kulikuwa na watu ambao hawajahi tokea katika siasa za hapa ngara! watu walikuwa wengi ni balaa na magamba kibao walirudisha kadi,kofia hadi vitambaa! hata ccm wenyewe jana walikili ngome yao imesambaratishwa rasmi.!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

    Safari yetu imekuwa ngumu na ndefu yenye vikwazo na mitego mingi sana! lakini nimengi tumeyapitia na kuyashinda. Kwa sasa IKULU Imeanza kuonekana wazi kwa CDM.Hakika safari hii ni ya ushindi japo wapo tulio wapoteza lakini malengo yatatimia! Niwakati wakuunganisha nguvu kuliko wakati mwingine...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ngara mh. Ntukamazina (CCM) apata aibu!

    Wanajamii nilikuwa kwenye mkutano wa mbunge wa CCM jimbo la Ngara uliofanyika katika kata ya Kabanga nakuhudhuriwa na wananchi wachache huku wengi wao wakiwa ni wazee! Baada ya jitihada kubwa ya gari la matangazo lililozunguka jana jioni kujulisha ujio wake katika kata hii,ajabu nikuwa pale...
  15. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Masaliti yote nje ya CDM!
Back
Top Bottom