wilchuma
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,102
- 333
well said.
Live long ukawa
mapambano sio kitu rahisi wengi wanayakimbia-kalapina.
well said.
Live long ukawa
Nilikuwa nawaona UKAWA watu makini kumbe hakuna kitu ni misukule ya Chadema sasa Zitto ana mamlaka gani kwenye hii nchi, mambo yenu ya Chadema mnataka kuyaleta kwenye Katiba.
Wewe kama ungekuwa upo kwenye mstari usingeandika tafadhari.Tafadhari soma mada vizuri uone kama upo kwenye mstari
Haya maneno yako mwambie Mbowe.Kwan usipowakubal inaathiri nin mkuu,huo ni mtazamo wako,by tha way Zitto wakati mwingine haeleweki,mtu gani una kauli mbilimbili?
Makada wa ccm bila shaka mmethibitishia umma kuwa zito ni mwenzenu kabisa maana nimefuatilia ni wanaccm tu ndo wanamtetea kila mahali na ndo wanasema ooh ni mtu makini, ooh ni msomi ooh anapendwa mara anaushawishi.
Nilikuwa sifahamu kumbe UKAWA ni tawi la Chadema wanapokea maelekezo kutoka UFIPA.Makada wa ccm bila shaka mmethibitishia umma kuwa zito ni mwenzenu kabisa maana nimefuatilia ni wanaccm tu ndo wanamtetea kila mahali na ndo wanasema ooh ni mtu makini, ooh ni msomi ooh anapendwa mara anaushawishi.
Haya maneno yako mwambie Mbowe.
Viongozi wa UKAWA wamemuonya Mh.Zitto akae kimya asizungumzie mambo ya UKAWA kwa kuwa hayamhusu.
Kauli hiyo imekuja baada ya Zitto kutoa kauli kuwa hana uhakika kama umoja huo utadumu mpaka uchaguzi 2015.
Zitto ametakiwa aendelee na ubinafsi wake awaache UKAWA wawapiganie wananchi.
Source: Mtanzania.
My Take: Zitto acha chokochoko,huna credibility ya kuwanyooshea Ukawa kidole,kwani wewe ni mbinafsi.

UKAWA haimhusu Zitto!!??