Mbunge wa Ngara mh. Ntukamazina (CCM) apata aibu!

Mbunge wa Ngara mh. Ntukamazina (CCM) apata aibu!

solex

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2012
Posts
218
Reaction score
15
Wanajamii nilikuwa kwenye mkutano wa mbunge wa CCM jimbo la Ngara uliofanyika katika kata ya Kabanga nakuhudhuriwa na wananchi wachache huku wengi wao wakiwa ni wazee!

Baada ya jitihada kubwa ya gari la matangazo lililozunguka jana jioni kujulisha ujio wake katika kata hii,ajabu nikuwa pale alipoulizwa maswali na wananchi akapandisha jaziba ndipo wananchi walipo mzomea na diwani kuchukua jukumu la ufafanuzi kwa wananchi.
 
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
 
magamba walijiaminisha sana na yale mapandikizi yao maMM,acha wavune aibu! tulishhawaambia kuwa wasicheze na mpango wa Mungu(cdm).
 
Dr Bujali mimba za watoto wa shule unazochomoa kila siku zinakutia wazimu sasa.i was there huu ni uongo wadanganye bukililo sie kabanga tu najua u jambazi wako.
 
Acha uongo wewe!! Mimi mwenyewe nilikuwepo watu kibao mpaka wamesukuma gari lake hadi Murusagamba na baadaye akaelekea kwenye mkutano mwingine Munjebwe ambao watu walifurika sana.

kama ulikuwepo toa data basi amezungumza nini na pia weka picha. Vinginevyo sisi tunajua watu walikuwa ni wachache na pia amezomewa..
 
Unaposema 'sisi"maana yake we na nani?acha ufala ngara hatujawahi kupatajembe km hili
 
Acheni kubishana leteni picha hapa jamvini tuamue ila kwa ripoti zinazonifikia ccm ni aibu tupu
 
Dr Bujali mimba za watoto wa shule unazochomoa kila siku zinakutia wazimu sasa.i was there huu ni uongo wadanganye bukililo sie kabanga tu najua u jambazi wako.

tuthibitishie kama solex ndiye Dr bujali , vinginevyo upewe adhabu kali sana .
 
Acha uongo wewe!! Mimi mwenyewe nilikuwepo watu kibao mpaka wamesukuma gari lake hadi Murusagamba na baadaye akaelekea kwenye mkutano mwingine Munjebwe ambao watu walifurika sana.
Tutakuamini kiaje kama kweli ulikuwepo?na kama ulikuwepo basi tupia picha tuwaone wakisukuma gari la huyo Mbunge
 
Natamani wananchi wa mkoa wa kagera waamke,angalau wafanane na wenzao Arusha na kilimanjaro,ni aibu kubwa kuona kagera kuna mbunge mmoja tu wa vyama vya upinzani ,Kama ngara wameanza kuamka basi iwe salaam kwa majimbo mengine yaliyosalia.
 
Acha uongo wewe!! Mimi mwenyewe nilikuwepo watu kibao mpaka wamesukuma gari lake hadi Murusagamba na baadaye akaelekea kwenye mkutano mwingine Munjebwe ambao watu walifurika sana.

Acha kukanusha uongo kwa kutumia uongo. Kama wewe siyo mwongo weka picha,kinyume na hapo wewe mwongo kama mizengo.
 
Na mimi mzee wenu nathibitisha kwani m/kiti chadema wilaya bwana kenedy staphord amenijuza sasa hivi!

Magamba ya c.c.yeem kwisha habari!
 
Back
Top Bottom