Chadema yaiteka Ngara kwa kishindo

Chadema yaiteka Ngara kwa kishindo

Yawezekana wamezomewa kama jana kigoma halafu mnaanza kupotosha semeni ukweli.

aise Nakushauri uende Milembe.Maana kila unachoandika kila fanana kwa kila post unayochangia. Nakwambia mwaka huu Presha ni yako. Kwa ufupi jana au leo marudio ya asbh umeangalia Taarifa ya channel Ten? Ukaona Maandamano ya chadema Kigoma mjini yalivyowapokea Makamanda waliotua na chopa????? Kila kitu unatoa reference feki eti Kigoma walizomea. Acha upuuzi. Kigoma ni nyumbani ww kama unapigiwa simu pole ila mm hapa sichakachuliwa kwani niko live nyumbani hapa.
 
labda baba la akina Joyce Mukya.

mtakufa kwa kihoro mwaka huu,unadhani kukanusho au kuletabuharo wako hapa jf kunaisaidia ccm isife???? kama unaweza nenda field watz wakuoneshe kwa vitendo walivyoichoka ccm!
 
labda baba la akina Joyce Mukya.

mtakufa kwa kihoro mwaka huu,unadhani kukanusha au kuleta uharo wako hapa jf kunaisaidia ccm isife???? kama unaweza nenda field watz wakuoneshe kwa vitendo walivyoichoka ccm!
 
Yawezekana wamezomewa kama jana kigoma halafu mnaanza kupotosha semeni ukweli.

hivi ukiwa ccm ni lazima ujifanye chizi??? au lumumba hailipi buk7 kwa walio timamu??? manake buk 7 wote nawaona akili zao fyatu!
 
Bwana simiyu mimi naona bado ana engiover ya mataptap asikupe taabu huyo. ndio wale wanao subiria wali maharage.
 
pamoja daima watu wang wa ngara hapo Nyamiaga,Murugwanza,Buhororo,Kanazi hadi Kabanga!!!!
 
pamoja daima watu wang wa ngara hapo Nyamiaga,Murugwanza,Buhororo,Kanazi hadi Kabanga!!!! CDM yatosha.
 
upepo huu sio ngara tu unavuma mpaka kwa akina kagasheki
 
Bwana simiyu mimi naona bado ana engiover ya mataptap asikupe taabu huyo. ndio wale wanao subiria wali maharage.
 
nimesoma posts hizi nikakumbuka enzi ya sadamu hussein, alipokuwa akijitapa na republican guards!
 
jana katika viwanja vya posta kulikuwa na watu ambao hawajahi tokea katika siasa za hapa ngara! watu walikuwa wengi ni balaa na magamba kibao walirudisha kadi,kofia hadi vitambaa! hata ccm wenyewe jana walikili ngome yao imesambaratishwa rasmi.!
 
Wow! extraodinary happy to hear that! Move cdm
 
Hoja ya kitoto kuweka picha 2010 ili ITV wafaidike nini that is fact expressing it self kamwe huwezi kuzuia jua kwa ungo
 
Natamani katika mikutano hiyo wanachama wapya waandikishwe kwa wingi zaidi ...
 
huko ngara ndo Mbowe alitoa kafara kwa kumgonga mwendesha bodaboda?

usitoe habari nusunusu tutakuita mnafiki bure humu, sema kagonga wapi,lini kama hujisikii kuandika acha,
 
Back
Top Bottom