kisanganyakiswata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2014
- 1,302
- 553
Hilo mbona linajulikana mbowe nimpiga dili tu kama wengine anajaribu kuwahada wasiojitambua eti kujivika kilemba cha uzalendo mbowe nifisadi mwizi kama wezi wengine tu
Hilo mbona linajulikana mbowe nimpiga dili tu kama wengine anajaribu kuwahada wasiojitambua eti kujivika kilemba cha uzalendo mbowe nifisadi mwizi kama wezi wengine tu
Ukiona mwizi anaiba karibu na kituo cha polisi na kukimbilia polisi ujue amemkumbuka mume wake jela, Mbowe kuna kitu anaki miss ndiyo maana anafanya maksudi.
Mbowe ni kiongozi bora,kuliko yeyote ktk vyama vya siasa tanzania.chini ya m/kiti mbowe chadema imefanikiwa sana,kutoka wabunge 11 mpaka 49.hongera mbowe.
Nasubiri hitima ya chadema ambayo inakuja kutimia mda siyo mrefu.
Jamani Mbowe ni Janga
Mbowe Angekuwa amehudhuria shule, usingeandiaka maelezo yote haya! Ungebandika CV yake tu hapa! INGEJIELEZA!
cdm ndiyo iliyobeba matumaini ya watanzania , hivyo yeyote mwenye nia njema na nchi hii ni lazima ajiunge huko .
Zitto kaishia ktk vijiwe palipo na makuli,warangi, wana kigoma wenye dhiki ..hao ndio wana hadithi versions nyingi sana za kumtukuza Zitto,za sijui dhulma anayofanyiwa,za sijui katikisa wazee wa kichaga,sijui nini nanini......Leo nimethibitisha mwenyewe hapa kibaha jinsi zitto asivyokubalika kwa watu wa kawaida kabisa katika eneo hili walau. Kila jina lake lilipokuwa likitajwa watu walikuwa wakizomea kuonyesha kumchoka kiumbe huyo
Nimeweka picha chache kuungana mkono kauli yako juu ya chadema kubeba matumaini ya watanzania, nitaweka pia za waliojivua gamba jana pale kibaha . picha nilizoweka hapa ni za jana mkutano wa Kibaha, ambako watu walirudisha magamba