Recent content by Sokoli

  1. Sokoli

    Mbona Mnazidi kunichanganya?? Nani mmiliki?

    Ukweli ndio huu
  2. Sokoli

    Mbona Mnazidi kunichanganya?? Nani mmiliki?

    Km Israeli wataambiwa na mungu waje waichukue Tanzania hatutakubali kamwe!Lakini Israeli akitumwa na Mungu JEHOVAH kuja kuimiliki Tanzania tutashindwa kuzuia,kumbuka "Mungu akisema ndiyo,hakuna mwanadamu awezaye kumpinga"
  3. Sokoli

    Mfumo mpya wa DAWASCO wa bili za maji kero isiyo ya lazima

    Nisaidie kujua kwa sasa tunapaswa kulipaje?
  4. Sokoli

    UDART wafungua kesi mahakamani kuzuia Serikali isilete muwekezaji mwingine kuendesha mwendokasi

    Mungu asaidie aje huyo muwekazaji mwingine,maana hawa UDART wameshindwa kabisa kabisa,wanatujaza vituoni muda mwingi mabasi hakuna,na yakija mfano pale grezani yanaishia kupaki tu pembeni bila kuwatangazia wateja nini kinaendelea,au linakuja kituoni na bila kusimama likiwaacha abiria midomo...
  5. Sokoli

    Historia ya Kabila la Wahaya

    Wewe wa mkoa gani?
  6. Sokoli

    Mahakama yatoa hati ya kumkamata Zacharia Hans Poppe, kuunganishwa kesi ya utakatishaji fedha

    Duu!ndio viongozi wa soka tulio nao Tanzania
  7. Sokoli

    Mahakama yatoa hati ya kumkamata Zacharia Hans Poppe, kuunganishwa kesi ya utakatishaji fedha

    Asante mkuu ngoja niitafute,maana hicho kiswahili kimeniacha mbali
  8. Sokoli

    Mahakama yatoa hati ya kumkamata Zacharia Hans Poppe, kuunganishwa kesi ya utakatishaji fedha

    Hivi "utakatishaji fedha" ndio nini?wajuzi tusaidieni maana hata sielewi hawa jamaa walifanyeje?
  9. Sokoli

    Ukistaajabu ya Professor Lipumba utakutana na Professor Bana

    Yaani nikisikia tu mwandishi wa habari anamhoji huyu Bana kuhusu uchambuzi fulani!nahama kabisa hiyo station ya radio,yaani hawezi kabisa kuficha hisia zake kwa kupendelea upande fulani
  10. Sokoli

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Ushauri wa kwanza mumuombee ili hilo pepo limtoke,la pil jarbu kumuwekea mtego siku anatoka zake kunywa mvizie njiani kisha jifanye km jambazi kwa kumshitua ghafla,atatoka mbio mfukuze bila kumkamata aendelee kukimbia mpk pombe zote zitamtoka,harudii tena huyo,ikishindikana hizo mbili njoo useme...
Back
Top Bottom