Asante sana!
Lakini je kisima cha kuchimba kikubwa kabisa kama ft 16 kwa 16 kina haja ya overflow pipe?
Zinakaaje wakati kimeishia kama 1m above ground level?
Je hizi ndo za kupumulia? Au za kupumulia si muhimu?
GDP ya North Korea ni $12.3 billion wakati South Korea ni kama $1.38trillion!
GDP per Capita NKorea ni $555 kwa mwaka wakati SKorea ni kama $27,000 per year.
GDP ya Tanzania ni kama $45billion, yaani zaidi ya North Korea
Nini kinampa North Korea kiburi?
NAOMBA KUJUA BAADA YA KUJENGA KISIMA NA KUKIPIGA PLASTA NA NIRU JE a). Ninaweza kukifunika juu kabla ya kuweka mabomba? Na mabomba yanajengewaje pale katika kisima?
b) Je ngazi ya inajengewa kabisa ndani au?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.