Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,195
- 8,009
Acha unafiki wewe, unatumia Simu ya shemeji itakuwa,,,so hujui ilikuwa na MB ngapiNimenunua gb 1 za voda nifuatilie ripoti ya pili ya makinika zimeisha kabla hata JPM hajaanza kuongea.
Wakati halotel gb 1 huwa zinakaa hadi nasahau kabisa.