nimeenda erita nimefanya maombi ya verif wamenipa no mf xxxxxxxBV_xxxx pia hvo hvo na death cert vp hz tarakimu nne c ndo zinafaa kukaa mwsho au n mimi nakosea
thanks
Wakuu habar zenu
Niende kwenye topic moja kwa moja me n kijana naenza maisha sina elimu sana na vyombo vya usafir ila kuna hz pik pik aina ya honda click nataman kununua kwa ajil ya trip town na mambo mengine.
Nimetokea kuzielewa na nazipenda najua kuna wadau weng humu ndan wanazo au...
Wakuu habarini
Naombeni msaada wa mafuta mazur ya nywele ambayo yatanisaidia kurefusha nywele na kuzfanya ziwe nyeusi na muonekano mzuri wa kuvutia maana wengine tuna nywele za vipili pili
Natanguliza shukrani
yan kama inafika mahal mtu anasema gar ya mil300 n bei rahis he/she naamn ndan kwake ka pack ndinga si chin ya 3 na ndinga zote naamin n above 300mil.
Kama mleta thread hauna hata gar moja inayokaribiana na bei hyo utakuwa mchaw
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.