Recent content by sogondolelo

  1. sogondolelo

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kilimo cha umwagiliaji

    Kanunue generator za SANSAN ziko vizuri na mafuta kidogo.
  2. sogondolelo

    JamiiForums Tanzania Yaani mpaka karne hii bado kuna watu wanaenda kanisani

    Hii ni laana au mtu!!!!!
  3. sogondolelo

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, ahojiwa kwa tuhuma za kula njama za kutaka kumuua Cyprian Musiba

    Mbona hawakuwahoji waliokuwa wanafuatilia Lisu!!!!!!
  4. sogondolelo

    JamiiForums Tanzania Ukimuita Mwanamke kwa namna hii utampagawisha sana

    Mwite mama yako "mke" uone.
  5. sogondolelo

    JamiiForums Tanzania Ukimuita Mwanamke kwa namna hii utampagawisha sana

    Ni makosa makubwa sana kumwita mke "mama ngu." Mke ukimwita mama, hupaswi kulala naye tena. Mama ni mama, na mke ni mke. Jaribu kugeuza mama yako umwite "mke wangu" uone kitakachotokea. Usifundishe watu ujinga na udondoa dume wako.
  6. sogondolelo

    JamiiForums Tanzania Mabibi Harusi wa zamani walikuwa wakilia harusini, wa siku hizi wanacheka. Sababu haya mabadiliko ni nini?

    Walikuwa wanalia kwa sababu wanajua bikira usiku huo inaondoka. Wa leo washafanya sana, wengine wana sugu, ataliaje.
  7. sogondolelo

    JamiiForums Tanzania Ukiyastaajabu ya Kabudi, utayaona ya .....

    Ni sarakasi na vituko tu!!!
  8. sogondolelo

    JamiiForums Tanzania CCM Iringa watakiwa kuacha migogoro

    Wao ni ruksa kufanya mikutano!!!!!!
  9. sogondolelo

    JamiiForums Tanzania Ndugai warejeshee wachina lunch,dinner,airticket na per diem walizokulipa kwa ajili ya mradi wa Bagamoyo

    Msishangae Magufuli akaitwa kwenye kamati ya maadili ya bunge, akajieleze kwa kutofautiana na Ndugai!!!
  10. sogondolelo

    JamiiForums Tanzania Kumetokea nini Tumaini Hospital Upanga?

    Tumaini hospital, kwa sasa imechoka sana, kwa ujumla wamefulia, wamefirisika.
  11. sogondolelo

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za mtoto wa shule ya msingi kusomea bweni

    Hawezi kukujali, wala kukuthamini kama mzazi wake, japo unalipa karo wewe.
  12. sogondolelo

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Dar es Salaam (DUCE) chasem CCM ndio chaguo lao kwa sasa

    Wape heshima yao marais wastaafu.
  13. sogondolelo

    JamiiForums Tanzania Ukonga: Baada ya tathimini ya SGR. Mwaka sasa umepita, mbona kimya?

    SGR ilifanya tathimini ya nyumba zetu zilizopitiwa na mradi wa SGR, tangu Dec 06 /2017. Tukaambiwa mpaka Januari 2018 tutakuwa tumelipwa na kuondoka. Mwezi Juni mkaja na tathmini ambayo haikuridhisha asilimia kubwa ya watu. Baada ya hapo mmepotea mazima. Mpaka leo ni mwaka umekwisha, na hakuna...
Back
Top Bottom