Askofu Gamanywa, hivi huyu Tito ni nabii? Msaidie tafadhali anautangaza ushoga badala ya injili

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,911
51,902
Huyu mtu anaitwa Nabii Tito na mkewe waliibukia kanisa la Askofu GAMANYWA BCIC MBEZI kwa kuwatapeli waumini kuwa wameenda pale ili kujazwa Roho mtakatifu.

Nabii Tito ni shoga au nabii? Naona yuko kwenye ku promote ushoga. Baba Askofu Gamanywa msaidie huyu mtu hebu mwangalie pana unabii hapa?

Alipo kuwa pale mlimani city ilikuwa vituko vitupo
Nabii mvaa heleni,mpiga lipshedo,make up,kachonga nyusi

Hii hatari tupu
 
Yaani gwajima na kuchepuka kote kule mpaka kufikia hatua ya Kure-cord sex tape. . Still mnaimani nae. .hahaa Ujinga kweli mzigo...Yeye mwenyewe ana hitaji kusaidiwa Ana pepo la ngono
 
Yaani gwajima na kuchepuka kote kule mpaka kufikia hatua ya Kure-cord sex tape. . Still mnaimani nae. .hahaa Ujinga kweli mzigo...Yeye mwenyewe ana hitaji kusaidiwa Ana pepo la ngono
Afadhali Gwajima mwanaume rijali, huyu choko anatia kuchefuchefu
 
Shoga Kivipi wakati ana mke na anampa vituz vya ukakika? Shoga muda na mwanamke maana hawezi kumtwanga masasi
 
Back
Top Bottom