Ukiyastaajabu ya Kabudi, utayaona ya .....

Ukiyastaajabu ya Kabudi, utayaona ya .....

Kabudi soma hiyo
Michael-Miguel%2020181004_065651.jpeg
 
Yaani mie wakikorogana wao kwa wao kama hivi nafurahi kishenzi, wapinzani walisema wakimalizana na sisi watakuja kwenu, kidogo kidgo hata kama wanacheka lkn najua moyoni mwao wanawekeana mabifu safi sana, unasimangwa mbele ya halaiki na dunia nzima inaona hahahah sijui familia yake wamejisikiaje
Hakuna mkorogo wowote
 
"Tulifanya biashara ya Korosho hapa, tani laki mbili na kitu, ni ngapi zimeuzwa? lakini wizara inaitwa wizara ya viwanda na biashara, ni biashara gani wamefanya? sasa unakuwa na liwizara la nini? kupeperusha bendera barabarani?" - @MagufuliJP
Hapo ndio utambue nchi inaongozwa na zero brain
Hizi elimu wanazojivuna nazo hazijawasaidia kitu zimewafundisha kuvaa suti tu
 
Back
Top Bottom