2. Lawalawa niliisoma nikiwa darasa la tano mwaka 2004.
Sambamba na hicho nimesoma vitabu vya Shigongo ikiwemo rais anampenda mke wangu pamoja na vitabu vingine vingi.
Japo uzi wa zamani ila nitajibu kwa mtizamo na hali ya 2024.
Kubeba begi kwa sababu imekua ni jambo la lazima kama siyo muhimu.
Kuna vitu muhimu ambavyo inabidi kuambatana navyo mara kwa mara kwa mfano mwavuli, simu, wallet, chupa ya maji na vinginevyo. Begi linaweza kuwa kubwa au dogo...
Mimi pia najua ni maigizo ila napenda sana mieleka, napenda zile style hasa za sarakasi kwenye wrestling. Style kama za Usos, Mysterio, Ricochet, Aleister Black. Inshort napenda wrestling ile yenye techniques na mbinu za kisasa sipendi ile old school ya maguvu, viti na fimbo.
Miaka ya nyuma mzee...
Nilishashindwa kuhamia azam kabisa!
Nmebaki na dstv nikitaka mechi ya bongo naenda kibanda umiza.
Na sasa hivi kuna chanel ya mieleka namba 229 kifurushi cha Access. Radio channels ziko poa sana, yaani maisha ya DSTV raha sana.
Siku hizi najitahidi kuzingatia usafi wa shuka mara moja kwa wiki. Kuna wakati napitisha wiki 2 bila kubadili.
Sema kitandani nalala nikiwa nimeoga na sipaki mafuta kwa hiyo uwezekano wa shuka kuchafuka ni mdogo sana.
Pia nalala mwenyewe kwa hiyo shuka inabaki safi.
Napinga hoja ya kutahiriwa tukiwa wakubwa na punyeto kwa ushahidi ufuatao.
Bro wangu alitahiriwa alipokua mdogo hajaanza ata chekechea, alipiga makelele nikaogopa nikakimbia.
Kiumri tumetofautiana mwaka na miezi 8.
Mimi nilitahiriwa nikiwa darasa la nne mkubwa kabisa nikiwa na miaka 10.
Ila...
Naitumia raundi ya kwanza, raundi ya pili siitumii kwa sababu nahisi kuna mbegu zimebaki na zitatoka taratibu pamoja na majimaji (semen).
Nikiwa kwenye gemu hua kuna ute mlaini unatoka wa kulainisha kigegedo. Hua nahisi ule ute utatoka na mabaki ya mbegu.
Kutokana na hiyo hofu raundi ya pili...
Faida:
1. Utaweza kutunza thamani ya pesa yako, kwa sababu kushuka kwa thamani ya pesa ya kigeni sio sawa na pesa ya Kitanzania.
2. Kuna faida kwenye baadhi ya akaunti za watoto. Faida siyo kubwa sana ni kama 0.5% kwa pesa ya kigeni kwa mwaka.
Hasara
1. Mara nyingi kwenye kutoa pesa cash...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.