Ulichonena kina usahihi.....lakini tujaribu kuangali sana hasa katika kilimo
na hata wakati mwingine hata serikali inajichanganya sana pale ambapo
inasisitiza kilimo kwanza bila kuwaambia wakulima walime nini,na kwanini
walime hicho,wapi walime,kwa kutumia nyenzo zipi,mazao kwa soko lipi,
je...