Pata picha mkeo kakuaga kuwa wana kikao kwenye kikundi chao

Raha jipe mwenyewe kaka! Mbaya kama amelazimishwa, yawezakuwa mumewe ndio kampa hilo 'dili' la kucheza mbele ya mkubwaaaa:noidea:
 
Tatizo lipo wapi kama kikundi chenyewe pengine ni cha NGOMA
du, we jamaa sio kabisa . yaani mke wako anakata mauno mbele ya mwanaume na wewe unasema ni poa?si kaolewa huyu? hizi ni kazi za mabinti sio za mke wa mtu
 
quote_icon.png
Originally Posted by Maria Roza
Sio mbaya mwache nae afurahi ni binadamu mradi hawakulii tunda
A%20S-key.gif


sawa kabisa lakini hiyo ya swala kukatikakatika mbele ya tiger? mapenzi bila wivu????? hata mara moja.....
 
badae unaona hii picha anacheza mbele ya mwanaume mwenzako tena na mwanenu mgongoni
sadaaaaaa.bmp


NI KWELI FURAHA.......lakini nisichojua jike huyu mwanangu mgongoni
anacheza au anapata maumivu kama ni maumivu basi huyu mhemiwa
hapa anapata kibao cha uso hata kama alikuwa katibu wa UN.
 
Haidhuru kama kikundi chao kina ngoma ndani yake au huwa wana shughuli za kijamii,labda cha kumshauri tu ni kuwa kucheza ngoma na mtoto mgongoni si jambo la busara.
Kuna wezi wa watoto siku hizi akimweka chini tu imekula kwake.
 
mwacheni mama wa watu ajipe raha kwa kiongozi wa kimataifa hapo anajipigia debe kupata msaada wake na mwanaye wa vyovyote vile jamaa alimpa msaada kama si wa shule kwa mwanaye labda kumjengea nyumba!!
 
Haitakuwa mbaya kwani ni mojawapo ya majukumu yake ya maisha "iwapo hagawi tundi kwa mwingine"

ila tu hapo kamnyanyasa mtoto wenu labda hilo ndo la kuongelea.
 
Let us look at things in a big picture, coz the issue here is fidelity/faithful, kama mke kakuambia anaenda kikaoni kumbe yupo ngomani. Maswali ya kuuliza yatakuwa mengi, moja kwa nini hakukuambia ukweli hadi akauficha katika uongo wa kwenda kikaoni? Other issues being mentioned reveal who we real are, and how we think about women, so guyz let us wake up from deep slumber whlist we want to be lost forever.
 
Back
Top Bottom