Recent content by snowbar

  1. snowbar

    Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

    Android kweli wana free app nyingi kwenye playstore lakini ulishajiuliza best game apps zinaangukia iOS iOS 11.4.3 : inaingia kwenye 89.82% ya iphones ila umeshajiuliza ni simu ngapi za android zinatumia latest Android 8.0 Oreo ni 0.8% tuu. FaceTime na iMessage zinakuja tayari ziko installed na...
  2. snowbar

    Uzoefu wake wa mapenzi unanifanya nikose kujiamini

    Kuwa muwazi, kuwa mkweli pale ambapo hujui na pia nzuri zaidi usifake maisha yako kwake. Hongera
  3. snowbar

    Zitto Kabwe: Zaidi ya Watanzania 380 Wanatajwa ‘Kupotezwa’ MKIRU

    ninachoona kwenye mada kama hii kuituhumu serikali ni kukituhumu chama cha mapinduzi, je unategemea kwa akidi yao pale bungeni na uzalendo wa vyama watakubali kuhoji au ni kushutumu upinzani unakurupuka na takwimu ambazo tunaona Mhe. ameshapiga marufuku takwimu.
  4. snowbar

    Wadada wa makamo ni waelewa sana kwenye mahusiano

    aKiakili za kawaida utaona ni waelewa ila kumbuka kuwa na wao wananyatia kiumbe kama wewe waingie kwenye ndoa maana kwao 25years ndio umri wao ukipita hapo wanaanza kupatwa matatizo ya akili kuona hawaolewi.
  5. snowbar

    Kuanzia Leo naanza kupiga kama Malaya wengine tu

    Demu wako unatakiwa umuheshimu ila kitandani umpige kisawasawa kama malaya, wewe ulikuwa unagusagusa ndio maana.
  6. snowbar

    Ipi ni dawa ya wivu?

    Njia bora kabisa ni kuwa muwazi kwake. Ukifanya hivyo atakuwa anaona dhana aliyonayo kwako anakosea na taratibu atabadilika. Kumbuka usipokuwa makini kuwa muwazi kwake itapelekea kuharibu uhusiano
  7. snowbar

    Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

    Na njemba kasimamia show vizuri, kama majibu yenyewe ni hayo anayosema.. huyo kashikwa kuanzia pale mume wake alipoishia kushika
  8. snowbar

    CHADEMA, mliamini katika ubatili. Ile ndiyo CCM ya Magufuli!

    Nasikia jamaa wa CHADEMA wanawaambia Madiwani wasishirikiane na serikali, sasa huu kweli si ujinga. Wananchi watapata wapi maendeleo bila kushirikiana na chama tawala ambacho kinaongoza nchi kutokana na Ilani yao ya uchaguzi.
  9. snowbar

    Boyfriend wangu nampenda ila tabia zake zinanikera

    1. Huyu boyfriend kila tukiwa pamoja hapendi kunishika mkono wakati tunaongozana nilivomwambia hii tabia siipendi akabadilika lakini kila akiona watu anaachia ukimuuliza nn tatizo aah anii sijazoea. Kwanza naona unamapenzi ya kupenda kuonekana na watu, mtu akikupenda sio lazima mshikane. 2. Bf...
  10. snowbar

    Nahitaji msaada wa haraka kabla stress haijapanga chumba moyoni mwangu

    POLE; kwanza ujue usiposamehe unajiumiza mwenyewe, njia bora ya kukaa salama ni kuachia.
  11. snowbar

    Nawapenda single mothers

    Unaona wapole maana hujaingia vizuri kwenye 18, ila jiulize kama ni wapole na wenye akili na ushauri mzuri wangekuwa single mother's?.
  12. snowbar

    Khaah!! Haya majaribu jamani

    ukiongeza 900 itapendeza..!
  13. snowbar

    Wake za watu wanaongoza kwa kufanya ngono ovyo kuliko wanawake masingle

    Aisifiae mvua... hizo ni hulka za mtu na sio tatizo la ujumla.
  14. snowbar

    Ukweli mchungu: Ukishamuoa mpe amri, akibisha piga, mbinu hii ilidumisha ndoa za mababu zetu

    ndoa ni kuheshimiana, kuvumiliana na kupendana. Sidhani sana kama hao mababu zetu waliishi ndoa zenye upendo kama tunavyodhani (mfumo dume uitawala). Naamini ukitenda wajibu wako na wife wajibu wake mtaelewana sana tuu
Back
Top Bottom