CHADEMA, mliamini katika ubatili. Ile ndiyo CCM ya Magufuli!

CHADEMA, mliamini katika ubatili. Ile ndiyo CCM ya Magufuli!

Comment ya lizwazwa...
Kweli ni comment ya Lizwazwa....LAKINI LINALOKUTIA VIDOLE!!!!!!KILA SEHEMU YAKO...Uhuru Wa kuamua huna...chanzo lizwazwa!!!!! Una comment ukiwa na unverified ID..chanzo lizwazwa!!!!!! Linakujambisha kila muda..chanzo lizwazwa!!!!!!! Likiamua ulale SAA Tisa mchana huna ujanja...chanzo lizwazwa!!!!!!

Hivi unajiona jinsi wewe ulivyo THE MOST LIZWAZWA!!!!!??????
MY TAKE:- Kama unajua 1 mwenzako anajua 11
SAFISHA MDOMO WAKO!!!!!!!
 
Bora umeongea ukweli.Naona sasa hivi hata kichwa huinui kwa jinsi uanvyoona haya na vibaya.Yule kijana wako naona kakupiga maswali na madongo mpaka umemfukuza jana arudi chuoni.

Nasikia umemtishia ati unamnyima ADA na vinginevyo utamtupa Sentro ya Stasheni pale.

Yote tisa Hongereni kwa kushindwa kwa kishindo
Kweli TANAPA ni shiida, yaani kabisa umeamini huyo kamanda yupo lumumba?!
mkuu uwe unatumia akili japo mara moja moja bhana!
 
Kweli TANAPA ni shiida, yaani kabisa umeamini huyo kamanda yupo lumumba?!
mkuu uwe unatumia akili japo mara moja moja bhana!

Pole sana ninamjua vizuri ndiyo maana nimejibu nilivyomjibu.Pole kama humjui
 
Kumbe kuuwa mtu ni suala rahisi tu kama ukijengwa ktk chuki.

Hii imenifurahisha sana.

Sasa hivi ni zana kila kona
 
Kama Arusha wamebana wamehachia ktk Ngazi ya Kata Lema na majimbo mengine tia maji 2020,,, time w'll tell
 
Nasisambaza pole kwa Mbowe, Mnyika, Lowassa,Lissu na Msigwa kwa 'vipigo' walivyopokea katika uchaguzi mdogo wa Madiwani. Tena wamepigwa nyumbani kwao,yaani, katika majimbo yao. Poleni sana CHADEMA mlioamini katika ubatili.

Yaani kwa akili zenu mliamini kabisa kuwa katika Kata ambazo Madiwani wenu walijiuzulu 'kwa kumuunga mkono Rais Magufuli' mtashinda? Mshinde ili Madiwani 'wanunuliwe' tena na tena? Hakukuwa na nafasi ya mchezo wa kuigiza kama huo. Lazima CCM iibuke kidedea!

Ukiachilia mbali Kata ambazo Madiwani wake walifariki au kufungwa jela, isingewezekana kwa kata ambazo Madiwani wake walijiuzulu zirerejee kwenu wapinzani hasa CHADEMA. Halafu, CCM lazima ipendwe kanda zote na sehemu zote za Tanzania. Ni lazima!

Hizo ni rasharasha, mvua kamili ni 2020. Ile ndiyo CCM katika ubora wake. Unabembelezwa, ukikataa unaelekezwa!

Kujenga hoja bila ya bunduki na kamatakamata itapendeza!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kibiti, Pwani)
Naona leo hapo ufipa hapatoshi, umevumila lakini imeshindikana.
 
Mkurugenzi atakaye tangaza mpinzani kashinda kwenye uchaguzi wakati mimi namlipa mshara aache kazi mara moja, Polepole anajidai na kutoa takwimu ooooo kwa miaka 2 ya magufuri pimeni mwone CCM navyo kubalika sasa, mtadanya wehu tu. eti mawakala wa Chadema wamefukuzwa na wengine kukamatwa na Polisi, wengine wameruhusiwa kuingia vituni saa 6 huo si uchizi kujisifia matapishi kama hayo.
 
Nasikia jamaa wa CHADEMA wanawaambia Madiwani wasishirikiane na serikali, sasa huu kweli si ujinga. Wananchi watapata wapi maendeleo bila kushirikiana na chama tawala ambacho kinaongoza nchi kutokana na Ilani yao ya uchaguzi.
 
Kwa awamu hii ni rahisi sana kupredict .......... sometimes maelekezo yenyewe kutoka juu yanasaidia kujua ni nini tutegemee.

Kwa historia yetu ilikuwa ni rahisi sana kuelekea kwenye system ys vyama vingi bila matatizo. Lakini ubinafsi na masala mengi vichwani mwetu ........... kuna siku tunaweza kujikuta tuko kwenye matatizo.

Leo tutawacheka Kenya, ila kesho ni wao wanaweza kutucheka kwa hii demokrasia uchwara tunayoijenga. In sub sahara, naona ni nchi mbili tu ambazo they got their things right .......... Ghana na Botswana. Kidogo, Namibia na RSA ....... ila sisi wengine tuko kwenye hatari ya kukalia msumari ... tena wa nchi sita!!
 
Kenya hawachekwi si tulisema ndiko kuna demokrasia au?
 
Mimi binafsi nimekuelewa na kukuunga mkono iyo ni fact[emoji817] [emoji818]
 
Ccm lazima ishinde tena kwa kishindo kwasababu Ccm ya Sasa na ya wakati ule ni tofauti(Kabla ya Magufuli kuwa Raisi)wakati ule Kulikuwa na Ccm maslahi lkn Sasa kuna ccm Kazi na uadilifu.Mimi nilikuwa mpinzani lkn kwasasa naisapoti Serikali ya Magufuli kwasababu kawaida ya Binadamu ni kutaka maisha mazuri bila ya kulipa gharama kwa kujituma kwenye Kazi watu wanataka dili tu bila ya kujali watu wengine wanaumia kwa Shida.Je kuna mfanyakazi asiyelipwa mshahara tuache uvivu tuache kutaka short cut kwenye maisha tufanye kazi kwa bidii na maarifa.Tumuunge MKONO Raisi Magufuli hata tukilalamika haitatusaidia kitu
 
Back
Top Bottom