Recent content by snoope

  1. snoope

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Mweny iphone6s iliyo mfia u ina i claud nahitaji kioo chake anicheki 0716734998
  2. snoope

    JamiiForums Tanzania Clouds 360 waipitia bajeti ya msiba wa Akwilina, wasema ni kubwa watoa pendekezo

    Ukisikia kufa kufaana ndio hio
  3. snoope

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Mkuu vip ushapata kuna s6 edge jiwe saafi kabisa
  4. snoope

    JamiiForums Tanzania SamsungS5 inauzwaaa mpyaaaaa

    Mkuuu ongeza basi 70 nkupe simu
  5. snoope

    JamiiForums Tanzania SamsungS5 inauzwaaa mpyaaaaa

    Samsung s5 inauzwa 300k na HDMI CABLE YAKE 16Gb 0716734998
  6. snoope

    JamiiForums Tanzania Msaada haya madhara ya misoprosol au la?

    Wajemen nna ndugu yang aliabotion kama mara3 last year kwa kutumia misoprosol sasa ameshka mimba kwa zumun lakuzaa na ina 2weeks ila chakushangaza anaona uchafu watoka ulochanganyika na dam jee hili nitatizoo lilo tokakna na dawa zile? na afanyajee ? Kutatua hilo
  7. snoope

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo

    Haahaaa daah unenikumbusha mbali kinyama mi mwenywew nlikua wa Azania kipindi hicho maisha ya shule baana
  8. snoope

    JamiiForums Tanzania NISAIDIE TATIZO HILI LA SIMU YANGU

    Tatizo betry hio imekufaa badilisha mkuu,kama unawaranty nenda ulipo nunua watakubadilishia
  9. snoope

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa juisi ya Stafeli

    Nipo mtwara hayo matunda huku mengi mno kama umtu anahitaji tufanye biashara buku2 hadi 2 dala unapata bonge la tufee tuu
  10. snoope

    JamiiForums Tanzania Makopa mhogo

    Uko sirious mkuu
  11. snoope

    JamiiForums Tanzania Tuliounguza account za Forex trading

    Brother itakua poa kama utatuweka kwenyew time table yako ya lecture la forex huku mtwara joomba
  12. snoope

    JamiiForums Tanzania Mtwara: TANESCO wapuuza agizo la waziri wa nishati, mgao wakutisha unaendelea.

    Daaah wenye mahoteli ndo wanahemaa nafanya kazi hoteli moja hapa yani kila siku genereta deseal lita 400 yaan nomaa
  13. snoope

    JamiiForums Tanzania Nyie Tanesco Mwanza kanda ya Nyakato ,Ilemela!!

    Bora ya nyie wenzetu imeanza jana sisi huku mtwara ni majangaa mwezi 5 xaivi hapa kwenyewe nnavo2ma coment hii toka asubuhi hakuna umeme alikuja waziri wa nishati akatumbua mtu na akatoa uhakikisho wa umeme kuwepo hasa mjini lakin mambo yako vilevilee yan kama juzi tumekesha 26 hours bila umeme
  14. snoope

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu nimfanye kitu gani? Anatembea na mfanyakazi mwenzie

    Aaah mkuuu Amshadudee baana
Back
Top Bottom