Recent content by Snipermdunguaji

  1. Snipermdunguaji

    Rais Magufuli: Niliomba urais kujaribu, nikasukumiziwa huko

    Alisema alikua anajaribu tu, ila akajikuta ni Rais..
  2. Snipermdunguaji

    Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

    Akili za Mungu ni kuu sana kiasi kwamba akili na hekima ya mwanadamu haiwezi kuelewa kabisa.
  3. Snipermdunguaji

    Diamond Platnumz: Mimi ni kama maji usipoyanywa basi utayaoga, awaonya wanaoibania WCB

    Watoto wa uswazi wana akili kuliko watoto wa kishua......nimeipenda hii
  4. Snipermdunguaji

    Hivi ni sawa kwa binti wa kilokole au wa kiislamu kuvaa suruali?

    Kwa upande wangu naona suala hili limekaa kiutamaduni zaidi wa eneo husika,hii ni kutokana kua kuna maeneo mengine unachoona wewe ni dhambi kwa mwingine sio dhambi. Kwa mfano kuna nchi wanaume wanavaa sketi,joho au msuli LAKINI pia kuna nchi wanawake wanavaa sketi au joho. KWA HIYO HII INAITWA...
  5. Snipermdunguaji

    Bunge na Serikali msikubali kumhudumia mtu aliyejifanya hahitaji msaada wenu

    Mtoa mada huenda hujasoma shule kabisa,soma kwanza kabla ya kuleta mada zinazokuchora jinsi ulivyo pumba. Matibabu kwa mbunge ni haki yake na sio fadhila ya CCM.
  6. Snipermdunguaji

    Sugu Bungeni: Tubishane kwa hoja sio kwa bunduki,ailipua Chato Airport

    Wanashindwaje kumshauri Mr President? Hahahaaaaa pyupyu..
  7. Snipermdunguaji

    Gavana wa Kenya amjibu Rais Magufuli kuhusu kukamata mifugo, asema uongozi wake ni aibu kwa Afrika Mashariki

    Hao Wakenya wafuate sheria,na huyo Gavana aache kuropoka maneno juu ya Rais wetu.Sisi hatujaribiwi na Gavana
  8. Snipermdunguaji

    Nilikosea kuolewa na huyu, nimekutana na perfect choice kazini

    Kaolewe nae uone kama kweli wewe ndie Mke wa ndoto Yake,wakati wewe unaota ndoto na yeye anamuota MTU wa ndoto Yake,ingia ndani uone hizi ndoto zako za alinacha..... Wewe ni Malaya na bado unajisifu kwa kum cheat mumeo......
  9. Snipermdunguaji

    Tetesi: Baada ya Serikali kuanza mahojiano na Nyalandu kuhusu kashfa katika Wizara ya Maliasili na Utalii, atimkia CHADEMA

    Hii nchi inafurahisha sana,yaani MTU akiwa upande wa kijani anakuwa mtakatifu sana,kimbembe huja akikihama chama cha kijani yaani hapo ndio kila story utaisikia,mlikua wapi kuandika haya kabla hajakihama chama?yaani kuhama chama tu tayari mnampa kashifa zote,.Ina maana unataka kutuamisha kuwa...
  10. Snipermdunguaji

    Afrika Kusini: Kundi la wapenzi wa jinsia moja waandamana nje ya ubalozi wa Tanzania mjini Pretoria

    Hapa kwenye ushoga sio kutofautiana mtazamo Bali ni uhalisia kabisa,MTU mweusi ushoga sio utamaduni wetu kabisa,so kuadhibiwa ni sawa kabisa, Haitakiwi kutetea upuuzi huu kwa namna yoyote ile
  11. Snipermdunguaji

    Afrika Kusini: Kundi la wapenzi wa jinsia moja waandamana nje ya ubalozi wa Tanzania mjini Pretoria

    Wanaacha kuandamana kwa mambo ya msingi,wanaandama kwa ajili ya upuuzi,huo ufirauni sio utamaduni wetu, na hatu utaki.
  12. Snipermdunguaji

    Kaniambia mimi sio saizi yake, alichonifanyia sitasahau

    Shukuru Mungu kakuambia ukweli,Wekeza akili yako ktk kusoma,wanawake wapo wengi tu,ukiwa na pesa utafurahi na kusahau machungu yote......soma dogo.
Back
Top Bottom