Uko sawa mkuu,Hata mimi sijui kwa ninin hawa tbc wanafanya kitu namna hii. Watuhumiwa ni CDM, kwenye kutoa maelezo hawaitwi, wanaitwa watu wale wale, sasa sisi wanamchi ambao tbc ni ya kwetu, tutapata wapi maelezo ya upande wa wanaotuhumiwa?? Wabunge wa ccm walobaki bumngeni hawajadili huu...