Recent content by smy

  1. smy

    Big up sana kwa Aliexpress (ALIBABA), wanafanya vyema sana katika kuhudumia wateja

    Boss mambo? Nahitaji kununua Vifaa vya electronics kwaajili ya kompyuta Naomba unielekeze nahitaji kujaribu aliexpress maana ni rejareja sorry bro my no. Ni 0746848506/0711633656
  2. smy

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Habari wanajf? Naomba msaada wanajf Jaman jinsi ya kupurchase vifaa vya electronics online kutoka kwa makampuni km aliexpress, eBay, Alibaba, amazon na mengineo vipi huduma zao zikoje, unanunuaje na unapokeaje? Nchini mwako km Tanzania
  3. smy

    Nahitaji photographer

    Habari wanajf? Mm ni mfanyabiashara ninajihusisha pia na biashara za burudani na mambo yanayohusiana, Ninahitaji mpiga picha wa kisasa na mwenye taaluma ya graphics design kdg ili afanye Kazi namm kwenye studio yangu . Kwa Maelezo zaidi nichek kwa namba 0746848506/0711633656
  4. smy

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    Habari kaka ? Nimeona Unatoa mawazo hapa kwa hii post kuhusu biashara ya forex ambayo nimeigundua miezi sita iliopita na kuanza kufanya trading kidogo Ila kk nimevutiwa na bitcoin Pia kwa kifupi mtu km ww unifanyie japo mentoring km walimu wengne nikapata ufunguo japo
  5. smy

    Actuarial science vs environmental engineering

    Environmental engineering
  6. smy

    IPhone 7 plus inahitajika.

    Nahitaji iPhone 7 plus 128GB offer 1 million cash Nicheki kwa namba 0711633656 au 0746848506
  7. smy

    CHADEMA na Lowassa kwa Ushindi huu wa Raila Odinga mtaweka wapi sura zenu?

    Ww hujui unachoongea, uhurukenyatta ni rais wa demokrasia amewapa uhuru nchi na uongozi wanafuata sheria na katiba ndomaana vitu km hivo vipo ila kiukweli uchaguzi utarudiwa na atashinda uhurukenyatta....... Odinga asahau kuhusu urais watu wake wanawa assasinate watu wa uchaguzi iPhone 6s
  8. smy

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ooooyooo unyama unyamani.... iPhone 6s
  9. smy

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Much appreciation bro, am on your back iPhone 6s
  10. smy

    Usikurupuke pale unapoambiwa kitu fulani kinalipa, tuliza akili kabla ya kufanya maamuzi

    Fact... Maneno yako madini tupo hapa tuliofilisiwa kwa biashara ya mbao iPhone 6s
  11. smy

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ile ilikuwa ni tottenham 0-chelsea 2 kulingana namm, batshuayi angekaa nje tu naona mpnz wetu morata Ana Balance kwenye kikosi now, katikati bakayoko hajaonekana ila ni mechi yake ya Kwanza nevertheless, Tusahau machungu ya last week iPhone 6s
  12. smy

    Nafasi ya kazi UAE

    Una uhakika na unachosema Ndugu? iPhone 6s
  13. smy

    Nafasi ya kazi UAE

    Okay, yaani nimemaanisha zile gharama za muhimu za kila siku Kama : 1.hifadhi 2.chakula 3.tiba ikitakiwa iPhone 6s
  14. smy

    Nafasi ya kazi UAE

    Kiwanda kipo Abhu-dhabhi iPhone 6s
Back
Top Bottom