Recent content by SMMhafidhina

  1. S

    JamiiForums Tanzania Habari

    Ndugu naomba Mwenye kujua hvi mtu Mwenye diploma ya marketing upper second anaweza kusoma degree ya social work?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nitakushauri hapa hapa kama unainterview

    Uzi mzuri sema wapokeaji wameanza kumbeza labda hawajamuelewa, ngoja nikufate inbox tubadilishane mawazo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Clinic officer v/s Diploma in Nursing

    Kaka mbu Kaka hii trend yako ya zamani lakini Leo naisoma tena, naomba kama hutojali unipe namba yako kwenye 0719706568. Nitumie hata msg nitakupigia.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tujipange: Kutaifishwa mzigo wa almasi Airport ni mwanzo wa vita ya kibiashara kati ya Tz na De-Beers

    Point Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    JamiiForums Tanzania SWALI: Unaweza kushiriki tendo la ndoa na mtu mwenye UKIMWI na asikuambukize?

    Pole Dada, na hongera kwa kuweka wazi, kwa Leo hii wewe unaweza ukawa sijui wangapi kukujibu maswala haya ya kufanya na mwenye Ukimwi na usipate, ni kweli lakini Mara nyingi wale wanaotumia dawa effective wana uwezekano mkubwa wakuto ambukiza wenza wao, lakini kwa situation yako inawezekana huyo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hongera sana ITV kwa kuanza kurusha habari za Makonda, bado za January

    Juzi nilikuwepo viwanja vya mnazi mmoja kumuaga marehemu Rweyemamu, niliona jinsi walivyokuwa wanatafuta nafasi yakuongea na Makonda sema bahati mbaya makonda alikuwa yupo busy huku akisubiriwa na wataalamu wa afya katika kuweka sawa mandalizi ya mwisho kuhusu upimaji afya bure... Bila shaka...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

    Jana tu nime omba namba nikapewa ila sidhani kama nitapiga ila kwa Uzi huu itabidi tujirekebishe. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

    Hahahaha Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Wanasiasa wa Upinzani wasichukuliwe na Serikali kuwa ni Maadui

    Huyo kikwete ana wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa , upinzani wasivyojielewa wataipa promo hiyo kauli kana kwamba hawajui Kikwete ndio alie hakikisha Maguli ana shinda na Sheni pia, Natamani turudi enzi ya chama kimoja, upinzani wa nchi hii hauna maana. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania's milk imports ban has hit Kenyan dairies hard!

    Wewe hujui biashara, mfanya biashara hata akiwa na wateja mia ila akipungua mmoja anapaswa kusikitika. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Utapeli huu saluni za kiume bongo haukubaliki

    Paragraph yako ya mwisho imekuwa na mashiko sana, hata Mimi huwa naonaga aibu wale mademu wakiniambia Nina MBA sasa nikikataa nitaonekana mchafu au mshamba, OK huwa nakataa BT ninakuwa nimeondoka na dhana kuwa watakuwa wamenionaje sijui, sasa wewe umenitia moyo.... Nitawatolea nje macho...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Wa Elimu kunatatizo NACTE kuingiza matokeo kwa ajili ya kupata verification award

    Hili tatizo ni kubwa, sio verification tuu, hata transcript na vyeti wameshindwa kutoa kwa wakati, juzi kati wizara ya afya imetangaza nafasi za kazi imekuwa ngumu kwa waliomaliza 2015/2016 kufanya application. Maana matokeo walio nayo watu ni statement of results from chuo na sio transcript...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa Yaikumba Nyumba Ya Shilingi bilioni 1

    Mita 120 ni nzuri sana, tutapata barabara kubwa na nzuri kwa vizazi vijavyo, kujenga pembeni ya barabara ni risk sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Kukosekana kwa Ajira nchini Tanzania kupungua ifikapo 2020

    Lissu na mdee ni wapinga maendeleo, wakamatwe tuu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wanasheria Zanzibar sasa kusaka njia kujitoa Muungano

    Ndoto za mchana, waulizeni UAMSHO. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom