well,maelezo haya yanaonyesha ukweli na uhalisia kuwa ni ngumu co kumfikia nes wa diploma au degree ata siku moja!Zaidi labda nijue leo bt cjawah sikia amo,co(paramedical) kawa md!Naomba ufafanuzi!
Ni kweli mkuu umesema hakika.Mimi niliwahi kujiuliza,hawa wanaotengeneza mitaala ya hizi level za dip.sijui wanafanya makusudi ama hawaelewi kwani ni jambo la kawaida kabisa kukuta mitaala ya certificate mf ya maabara ama pharmacy inatofauti ndogo mno na ya dip.lakini wakati huo huo zinatofauti kubwa mno na digrii.Unakuta mtu kasoma certificate miaka 2 halafu anaenda dip anasoma miaka 3 mambo yale yale ila akifika level ya digrii ya 1 muziki unabadilika mno.Hata hivyo wakati mwingine haya mambo hutokana na historia ya hii medical field.Waanzilishi wake wengi walikuwa wachawi(traditional healers).Wengi walitamani kuabudiwa na kujiona wana uwezo wa pekee sana ambapo kuufikia ni lazima uhangaike hata pale ambapo hakuna ulazima huo.Unaweza kuchukulia mf Muuguzi akisoma certificate ni miaka mitatu,diploma miaka minne,digrii miaka mitatu hadi minne.Ila ukitafuta sana tofauti ya kazi kati ya mwenye dip na digrii huioni kabisa.Ni sawa na kuanzisha digrii za house keepers!kama ni kuosha vyombo wataosha wote,kama ni kutandika vitanda wote watatandika aliyesoma na asiyesoma!Labda mambo ya ukwasi tuahahaa,kamwe narudia tena huwezi kuwa daktari mzuri bila kusoma kozi za mwaka wa 1 na 2(biomedical science)kwenye medical school,ndio maana ni lazima AMO akienda medic school ni lazima aanze mwaka wa 1adi amalize mwaka wa 5(akuna short cut kwenye udaktari).
unajua adi mtu kumaliza AMO amesoma jumla ya miaka 5(3 ya CO+2AMO)ambayo almost ni sawa na miaka ya MD,so issue sio idadi ya miaka issue ni jinsi gani mpangilio wa curriculum ulivyo.
MD slybuses yake ipo well organized,tofauti na AMO ambaye slybus yake ijawa well organized,hivyo inakuwa ngumu kulink material yake.
nb najaribu kutoa fact tu,simaanishi kusoma MD automatic unakuwa bora,hapana kuna factor nyingi sana,unaweza kutana na MD kimeo adi ukashangaa
kaka/dada we ni noma Jukwaa la elimu lingekuwa na watu kumi kama ninyi tungekuwa mbali sanaClinical officer hutibu wagonjwa wakati Nurse(muuguzi)huuguza(hutunza)wagonjwa kwa kutekeleza kile kilchoandikwa na clinician.
Clinical officer huwa kiongozi asipokuwapo daktrari(MO au AMO) wakati muuguzi hata kama ana digrii mbili kama tu ni za uuguzi,lazima awe chini ya CO
CO anasoma miaka mitatu wakati Nurse anasoma miaka minne
CO na Nurse wote wakiwa na dip.Nurse huwa na mshahara mkubwa kidogo kuliko CO
Wagonjwa humheshimu zaidi CO kwa kudhani ni msomi zaidi kuliko Muuguzi
Ili usome CO kwa sasa unatakiwa uwe na ufaulu mkubwa kidogo angalau div 2 ya F.4 ama F.6 with science esp PCB,CBG lakini ili uwe muuguzi lazima uwe na ufaulu masomo ya sayansi na Eng na Math kwa angalau div 4 ya pts 26 ama F.6
CO anafanya kazi chache na rahisi kuliko Muuguzi ambaye hufanya kazi nyingi na kwa masaa mengi zaidi
Muuguzi anaweza kujiendeleza katika fani mbali mbali ikiwemo za uongozi sawa sawa na CO
Muuguzi anaweza kufanya kazi zahanati,kituo cha Afya,hadi hospitali za rufaa wakati CO hawezi kufanya kazi hospitali ya rufaa.
KAZI KWAKO
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
ukimaliza co kwenda md sio lazima upitie AMO(miaka 2) unaweza kwenda MD moja kwa moja provide unakidhi vigezo vya TCU/chuo husika.
kufikia malengo sio lazima wote tupitie njia inayofanana,kwa tz kuna njia mbili za kupitia adi kuwa daktari(direct from f6 au kupitia co) suala la miaka wala lisikuogopeshe.
ebu fatilia story za mkurungezi mkuu wa muhimbili hosp,au ata mkurungezi wa bugando hosp(wote ni madaktari fatilia walivyofikia malengo yao).
Nina qualifications zote za kuisoma hii ndoto yangu but poverty kills my dreams,hope ningepata mtu tuweke contract..!!!
soma co ndugu,ina adv nyng,ni multpurpose,waweza fanya kaz zahanat had hospital kubwa,kwa taarifa 2 unapokwenda hosp yeyote kutibiwa m2 wa kwanza kumueleza waumwa nin ni co,ajira ziko za kutosha,na mshahara mzur pia,co inauwanja kubwa wa kujiajir mwenyew,na alwayz ma md's wazur weng wamepitia co.nurse ni m2 mdogo katika kada za afya na jamaa wajuu alisahau tu nurse kama nurse ni mshahara sawa na co tena co kampita kidogo,ila kuna nurse wanasoma miaka minne wanasoma nurse na midwives hao ndo wanasary nzur kidogo
Ndoto zako ni nzuri sana lakini kama unge kuwa huja apply kwa mtazamo wangu kama wewe ni form six na pcb bora kurudia mitihani hiyo ili ukifanya vizuri uje uombe kuchukua MD moja kwa moja maana ukitaka kuunga unga utachukua miaka mingi. co itakuchukua 3 yrs,AMO 2 yrs ndo uje kuanza MD tena, ni miaka mingi na kumbuka ukiwa AMO hata ukienda kuspecialize mfno,macho nk.hutaitwa specialist(daktari bingwa) hata siku moja.lakini MD anapo specialize anakuwa daktari bingwa ina sound vizuri utani lakini mdogo wangu.
Nafikiri hujanielewa co ninayemuongelea ni yule hajakidhi qualifications za kuchukua MD,ndo maana nikashauri kurudia mitihani,maana kama amefauru vizuri kwa nini ahangaike na co badala ya kwenda MD moja kwa moja,kuna vyuo vingine sasa wanachukua mpaka div.three za pcb wanachukua MD,mfano.kcmc namjua yuko jamaa aliingia na three. vile yeye kasema ni form four huyo co inamtosha kuanzia.
Mkuu MOES uliniaidi juma 3 utanitemea mzigo wote kuhusu medical labaratory technician analiKwa sh ngapi kuanzia ngazi ya diploma hadi degree au umenisahau mkuu?ebu soma kwa makini kwenye bluu ulivyomaamisha
kwamba before kuchukua md kwa co kuna sharti upitie AMO(ie,CO---AMO----MD)
otherwise ulekebishe apo
Mkuu MOES uliniaidi juma 3 utanitemea mzigo wote kuhusu medical labaratory technician analiKwa sh ngapi kuanzia ngazi ya diploma hadi degree au umenisahau mkuu?
Clinical officer hutibu wagonjwa wakati Nurse(muuguzi)huuguza(hutunza)wagonjwa kwa kutekeleza kile kilchoandikwa na clinician.
Clinical officer huwa kiongozi asipokuwapo daktrari(MO au AMO) wakati muuguzi hata kama ana digrii mbili kama tu ni za uuguzi,lazima awe chini ya CO
CO anasoma miaka mitatu wakati Nurse anasoma miaka minne
CO na Nurse wote wakiwa na dip.Nurse huwa na mshahara mkubwa kidogo kuliko CO
Wagonjwa humheshimu zaidi CO kwa kudhani ni msomi zaidi kuliko Muuguzi
Ili usome CO kwa sasa unatakiwa uwe na ufaulu mkubwa kidogo angalau div 2 ya F.4 ama F.6 with science esp PCB,CBG lakini ili uwe muuguzi lazima uwe na ufaulu masomo ya sayansi na Eng na Math kwa angalau div 4 ya pts 26 ama F.6
CO anafanya kazi chache na rahisi kuliko Muuguzi ambaye hufanya kazi nyingi na kwa masaa mengi zaidi
Muuguzi anaweza kujiendeleza katika fani mbali mbali ikiwemo za uongozi sawa sawa na CO
Muuguzi anaweza kufanya kazi zahanati,kituo cha Afya,hadi hospitali za rufaa wakati CO hawezi kufanya kazi hospitali ya rufaa.
KAZI KWAKO
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
can be true AMO ni equivalent na advanced diploma.
sijamaanisha kuwa AMO anafundishwa kwenda vijijini,ebu kwanza nielezee chimbuko la hii kozi ya AMO.
tnavyosema vijijini apa tunamaanisha( district hosp,health centre,na dispensary) ambazo nyingi zinapatikana vijijini kiuhalisia.
wanaofanya kazi uko kwa wingi walikuwa/na bado ni co,hivyo serikali ikaja na idea ya kuwaongezea uwezo ili kuwasaidia wananchi hasa wa vijijini ambako kuna upungufu mkubwa wa medical doctor.
basi kozi ya AMO ikaanzishwa mahusis kwa kuwaendeleza co kuwa AMO,kwa muda mfupi wa miaka2 ili kupambana na uhaba mkubwa wa madaktari hasa vijijini.
kumbuka sio rahisi kupata medical doctor 3 kwenye hospita moja ya wilaya either utakuta 1 au hakuna kabisa.
na kweli kwa kiasi fulani AMO wamesaidia kwa kiasi fulani hasa surgical cases(s/section,laparatomy) kuliko kama serikali isengebuni hii kozi,eti kwa kusubilia medical doctor wakazibe upungufu uliopo hasa kwenye maeneo ya vijijini( kumbuka kulikuwa na chuo kimoja tu muhas kinachotoa MD,lakini kwa sasa tunavyuo kama 6 lakini medical doctor hawajatosha ata nusu ya maitaji)
ndugu kuna CO(experienced and commited) ninaowafahamu si tu kwamba wanapiga scissor bali wanapiga adi laparatomy including hysterctomy,sema tu ni utaratibu uliowekwa kwamba hizo procedure zifanywe na AMO au md.
sema ugojwa mkubwa(tena mkubwa sana) wa co/amo ni approach kwenye medical cases still wana lack kitu kikubwa,kufika final correct diagnosis and differential diagnosis(kila mgonjwa anatibiwa either typhoid,malaria au minyoo)ata kama una stroke mbele kwa mbele nature itadecide.(sio makosa yao ni nature ya train yao ilivyo)
kwa nini tunaweza kusema AMO ni crash programm?
kwa comparison ya kozi nyingine kama uhasibu AMO inafanana na advanced diploma.
lakini kiuhalisia kwenye medical field ni crash program,sababu ajasoma ata 30% ya slybuses ya medical doctor(hajasoma pathology,pharmacolo,physiology,biochemest,micobilogy,parasitio).
kuna mtu ataweza kusema si amesoma baadhi ya ayo masomo akiwa anasoma CO,kamwe huwezi linganisha biomedical science ya co, na biomedical science ya md.
kumbuka biomedical science ndio msingi/mzizi mkuu wa udaktari ulipo.
Kaka Unaijua Vizuri PCB Under Extreme Poverty.Nilipata 17.Dats y nikaona C.O nakidhi VIGEZO.NOTHINWORSE LIKE POVERTY.
mbuNdoto zako ni nzuri sana lakini kama unge kuwa huja apply kwa mtazamo wangu kama wewe ni form six na pcb bora kurudia mitihani hiyo ili ukifanya vizuri uje uombe kuchukua MD moja kwa moja maana ukitaka kuunga unga utachukua miaka mingi. co itakuchukua 3 yrs,AMO 2 yrs ndo uje kuanza MD tena, ni miaka mingi na kumbuka ukiwa AMO hata ukienda kuspecialize mfno,macho nk.hutaitwa specialist(daktari bingwa) hata siku moja.lakini MD anapo specialize anakuwa daktari bingwa ina sound vizuri utani lakini mdogo wangu.