Nitakushauri hapa hapa kama unainterview

Nitakushauri hapa hapa kama unainterview

Ni hivi, ukiitwa kwenye interview sehemu, unatakiwa 1.)ukisome kile ulichoomba in general.
2.) Uisome kampuni husika pamoja na mission, vission zao, wapo tangu mwaka gani, uisome report yao ya karibuni ili ujue wapi waliposhindwa au wapi walipo fanikiwa- kama una muda
3. Unataliwa uzijue zile Duties zilizoandikwa kwenye maombi ya kazi- mara nyingi ukiulizwa utafanya nn basi jibu linatoka hapa au jtaulizwa direct
4. Ujue kwa nafasi uliomba report gani unaanda either kwa siku, wiki au mwezi ya kumtumia senior wako
That y nikaomba aliekua hajwahi kufanya interview hata mara moja aje tushauriane cjataka mwenye swali lake binafsi

Sasa Mkuu hayo uliyosema ndio hayapo Gooogle.???
 
Uzi mzuri sema wapokeaji wameanza kumbeza labda hawajamuelewa, ngoja nikufate inbox tubadilishane mawazo
 
Habari ndugu
Sinasomea HR lakini nina uzoefu wa kufanya interview kwa kusoma sehemu tofauti tofauti na kuifanya pia
Niulize kama umeitwa kwenye interview
Natanguliza shukurani
Why are you not promoted in your current job? Nahisi nitaulizwa hili maana hapa ninapofanya kazi sasa nina miaka 5 na sijapata promotion na kesho naenda kwenye interview. Nipe jibu mkuu
 
Habari ndugu
Sinasomea HR lakini nina uzoefu wa kufanya interview kwa kusoma sehemu tofauti tofauti na kuifanya pia
Niulize kama umeitwa kwenye interview
Natanguliza shukurani
nisaidie ndugu yangu cjui lolote nimeitwa katika usaili kwa mara ya kwanza kupitia tume ya ajira serikalini asante
 
Back
Top Bottom