https://www.iucea.org/3rd_kdu_iucea/
Wapendwa naomba tusambaze hii taarifa kwa kasi. Mpaka jana, hakukuwa na Mtz hata mmoja aliyeomba na kuna nafasi 5 kwa Watanzania.
Deadline ni 15th April 2021
Kila mara ukienda hospitali ya TAIFA YA MUHIMBILI NA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE utaambiwa mtandao unasumbua linapokuja swala la kukata risiti za BIMA YA NHIF. Hili ni tatizo suuuugu kwa muda mrefu.
Sasa najiuliza watu wa ICT huwa mnafanya nini? Tatizo hili linalogusa na kuathiri maisha...
Nadhani hapa kuna point ya msingi anayojenga Sijijui. Ni vyema MM Togolani na wengine tujadili kwa mtizamo hasi(na sio chanya peke yake). Mfano, pale ambapo tutaendelea kuacha watu wajitafutia riziki halafu hapo hapo waambukizane wengi, hapo serikali itamudu kuwahudumia kwa hali hiyo hiyo...
Tafuta daftari.
Orodhesha sifa za mke unaemuhitaji zote.
Then tengeneza line column 3.
1. Sifa unazohitaji hata zfike 50
2. Mwanasheria
3. Mcha Mungu
Uwe unatiki na kukata kwa 2 au 3.
Rate percentage kutokana na unavovalue sifa husika.
Jibu kaa chini ns Mungu muombe akuongoze ktk uamuzi...
Unaweza pia kwenda benki ukawaeleza kusudio lako.
Cha kujua tu ni kwamba assume umeachishwa kazi na mwajiri ambae ndiye kakudhamini. Unafikiri nani angelipa mkopo? Ni wewe wewe. Alichofanya mwajiri ni kukidhamini kwa maana ya kukata mshahara wako kwa ajili ya benki.
Hivyo, kinachotakiwa na...
Inawezekana na ni jambo la kawaida sana.
Wanachotaka benki ni marejesho yao tu. Hivyo, waandikie barua namna watakavyokua wanapata marejesho yao ya kila mwezi.
Ni vyema kutafakari kwa kina uamuzi wa kuacha kazi kabla ya kuamua kuacha kabisa. Fanya upembuzi yakinifu kujiridhisha kwamba, jambo...
Ndugu wana jamvi,
Naomba kuelimishwa. Hivi ni kwanini wahamiaji wengi haramu wanaopita Tanzania kwenda Afrika ya Kusini wanatokea Ethiopia, ilihali hali yao ya amani, machafuko na/au uchumi si mbaya kama nchi za Sudan, Somalia, Burundi, Jamhuri ya Kongo (DRC) n.k?
Hajachanganya mambo. Tangazo aliona kwenye gazeti ila baada ya kufuatilia namna gani atapata nyumba ndiyo akaenda wizara ya ardhi then TRA na kupewa namba ya YONO . YONO wakamwambia mnada ukifika tutakujulisha...so hapo ndipo YONO walimjulisha siku ya mnada. Endelea sasa ....
Ndugu wana board,
Salaam kwenu.
Tunasikitika kuwa na msiba wa ndugu yetu (Mtanzania) uliotokea Marekani (USA) weekend hii.
Ninaomba kujulishwa kama kuna anayefahamu utaratibu wa kuzika mwili huko au kusafirisha kuja Tanzania.
Gharama zake zinakuaje? Utofauti wa gharama, ipi inakua ghali...
Ndugu wana board,
Salaam kwenu.
Tunasikitika kuwa na msiba wa ndugu yetu(Mtanzania) uliotokea Marekani (USA) weekend hii.
Ninaomba kujulishwa kama kuna anayefahamu utaratibu wa kuzika mwili huko au kusafirisha kuja Tanzania.
Gharama zake zinakuaje? Utifauti wa gharama, ipi inakua ghali...
Jibu lipo...Jina la Yesu. Weka imani utapona kabisa. Hakuna Jina lingine tulilopewa wanadam la kuokolewa kwako ila JINA LA YESU. Jenga imani nakuambia utapona utapona utapona. Utarudu kushuhudia .Kwa Yesu kuna uponyaji permanent. Tuanze soma shuhuda ht za bibilia kitabu cha Daniel, Esther ...
Mwite mkae umuambie jinsi unampenda na umekwazika kwa alichokifanya. Ajue tu umejua. Mjulishe usingependa hilo litokee tena. Jua pia shetani yupo na kazi ya shetani ni kuharibu so inawezekana ni shetani anataka kuharibu mahusiano yenu. Ni makosa tu yanatokea ila mkanye
Nakuheshimu sana mkuu. Ila hapa hatuongelei elimu ya kutombusu mtoto kwa mtu yeyote. Tunachopinga hapa ni ubaguzi dhahiri uliioneshwa na mtoa mada . Criteria zake zimebase kwa sababu ni housegirl na hana uhakika kama anaswaki . Haikua mtoto kupata busu kwa mtu yeyote.
Hivyo ni sawa maoni yako...
Mimi napinga maoni yako. Kauli ya mypa mada imebase kwa sababu ni housegirl na yeye kutokua na uhakika kama ameswaki au lah. Haya yako ni nje ya mada kabisa. Soma tena vizuri utaona criteria za mtoa mada sio kwa sababu hizo zako ulizosema.
Kifupi mtoa mada ameonesha ubaguzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.