scientificall
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 460
- 360
- Thread starter
- #21
Sina hamu nae tenaMuongezee
Sina hamu nae tenaMuongezee
Hutaki aaibike kwa nani maana mtaulizana wawiliSitaki aiibike
mwambie unaenda na msisitizie kabisa uwe serious...lazima atakuja kukupa hela yakoNmemwambia naenda kwa bibi ananishauri nsiende
Ulipogundua na kuwa na uhakika ungemweleza ukweli ili atambue kosa alilofanya.

Kweli lakini kumbuka mm n mpenzi wake na sinunue penzi kwake hio pesa ilikua ndefu asee kwa hali hii hata 30 ni pesa kubwaHuo mkwanja mrefu hauwezi kukaa kwenye kava la simu mkuu usitufanye ni watoto
Huyo hajaiba ila amechukua sehemu ya malipo ya kilicho mleta hapo
Nakusikiliza maelezo ya upande mmoja tutashauri kitu ambacho hatukijui
Mkuu umenifanya nicheke japo wewe una maumivuKweli lakini kumbuka mm n mpenzi wake na sinunue penzi kwake hio pesa ilikua ndefu asee kwa hali hii hata 30 ni pesa kubwa
Usisahau mrejeshoKama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Kuna binti ni mpenzi wangu tuna miezi 10 sasa toka tunapendana mpaka imefikia kuahidiana kujenga familia moja. Cha kusikitisha na kutia hasira mpaka naomba ushauri kabla sijachukua maamuzi magumu.
Leo kaniambia anakuja kunitembelea. Nikamkubalia na nikamtumia nauli kwani alieleza kuwa hakua na nauli ya kwenda na kurudi.
Baada ya kufika tukapika na kula na stori za hapa na kule pamoja na mambo ya kikubwa. Sasa ilipofika mida fulani tupo geto nikamwagiza mtoto wa jirani dukani kumbe msichana kaona wapi pesa ilikua, baada ya kutoka nje kwenda kumpokea dogo mzigo wangu kumbe msichana kachomoka na mkwanja mrefu na kuficha nyuma ya kava la simu.
Hapo baada ya kumaliza mishe zetu zote nikaamua nimsindikize stendi njiani pindi namkabidhi nauli na mkwanja wake wa kula nikaona minoti ya buku kumikumi nyuma ya simu, nimeshangaa sana japo sijamuuliza japo simu yake nilikua nayo mimi na sikuona pesa yoyote nyuma simu.
Baada ya kurudi geto nikamwambia nimekuta nimeibiwa akashangaa sana kunipa pole. Sasa na mimi nimemwambia hawa majirani watanikoma maana hata begi sijaligusa naenda kwa mganga. Mpaka sasa yupo ananitumia message eti niachane na imani hizo.
Binafsi imeniuma sana na huyu binti nampenda sana lakini kwa hichi nahisi kuchukua uamuzi mgumu kwa sababu sijawahi kumnyima pesa na ninamuhudumia kuliko maelezo.
Ushauri wenu jamani
Nawasilisha
Kwa mganga siez kwenda nlikua namtest niskie anasemajeMkuu umenifanya nicheke japo wewe una maumivu
Swala la kwenda kwa mganga achana nalo
Mwite aje zungumza nae kwa utaratibu mwelekeze madhara ya kuiba na umjenge kisaikoroji atakwambia mwenyewe
Swala la kwenda kwa mganga utapoteza hela na mda bado jibu litabaki kuwa unatumia mda mrefu kutatua tatizo dogo ambalo halihitaji nguvu kulitatua
Utamjuaje sasaMnaokota wapi hao wanawake mbona kuna wanawake wa maana wengi tu...