Muhimbili Hosp&Jakaya Kikwete : NHIF - ICT Mnafanya nini?

smartfocus

Member
Oct 4, 2015
61
125
Kila mara ukienda hospitali ya TAIFA YA MUHIMBILI NA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE utaambiwa mtandao unasumbua linapokuja swala la kukata risiti za BIMA YA NHIF. Hili ni tatizo suuuugu kwa muda mrefu.

Sasa najiuliza watu wa ICT huwa mnafanya nini? Tatizo hili linalogusa na kuathiri maisha ya watu ambao tayari ni wagonjwa kwanini mnalichukulia kama halina umuhimu? Mfano leo kwa zaidi ya masaa matatu hakuna mtandao huku TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE.

Na nyie wa NHIF hili tatizo hamlijui?

Basi ninawapa taarifa hii wote nikitaka mfanye marekebisho haraka iwezekanavyo.

Nawasilisha!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom