Recent content by SMARTER GHOST

  1. S

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Once again, Mbappe anaonyesha vile alivyo sumu hatari ndani ya dressing room. Real Madrid mnahitaji kocha mkali, anaeweza kucontrol dressing room na kucrush egos za hao vijana wenu. Bahati mbaya, siwaoni hao makocha kwa sasa, labda kama mtaweza kumtoa Klopp kwenye ustaafu wake. Huyu Abeloa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania NHC Kijichi hizi bei

    Alafu hiyo ni bei ya chumba kimoja. Wamechanganyikiwa hawa! 😅😅😅😅
  3. S

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Gwajima kwenye team maridhiano! Tutakuwepo!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tume ya Maridhiano-Haya ni mauzauza kwa kweli watanzania tunachezewa akili

    1. Gwajima 2. Mwamposa 3. Zitto. Machale yangu yananiambia tayari wanazo namba za kucheza kwenye hiyo
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

    Siku vigezo vikishuka mpaka kwa "anaepumua" nishtue niombe tenda. Mwa wa kibaba-mama huu!
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

    Ulipata hitaji la moyo Financial Services?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za kindugu, umwagaji damu na Ukatoliki nchini Ufilipino

    Nakubaliana na wewe. Mleta mada alikubali kirahisi maswali yampeleke nje ya msingi wa mada yake. Mwishowe, yale yaliyokua "extra", ndio yamekua mada kuu!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kwaheri 2025, Ulikuwa Mwaka wa Majanga!. Yaliyopita si Ndwele, Tugange Yajayo!. Karibu 2026, Uwe Mwaka wa Kheri!. Ni Mwaka wa Katiba Mpya!, Inakuja..!

    Watu wameuawa. Alafu linakuja lijinga limoja ambalo lilikaa darasani likasoma sheria, na bado linasema "yaliyopita si ndwele, tugange yajayo". Ulaaniwe mpaka kizazi chako cha nne!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za kindugu, umwagaji damu na Ukatoliki nchini Ufilipino

    Comprehension ndio shida kwenye huu uzi. Sababu kubwa, ni mleta mada kugusa ukatoliki na kama unavyojua watanzania wenzangu, ukigusa dini hakuna utakachosema waelewe. Nilivyoelewa mimi, msingi wa hii mada sio madhaifu ya kanisa Katoliki, bali ni msimamo wa yale yanayopiganiwa na kanisa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mfalme ‘akiuawa’ huwa inachukua muda mrefu sana Taifa kupona

    Sipendi kumharakisha muumba, ila ikiwezakana, mapenzi yake yatimizwe chapchap! 😎😎😎😎
  11. S

    JamiiForums Tanzania 11. Mwanangu… kususia JKT si ushindi. HAPANA

    Siti ya mbele.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Bado naamini huu ndio uelekeo, drafti linapigwa!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Maono: nimeona nyumba inayofanana na Tanzania inayomilikiwa na mwanamke ikianguka chini na kuwaka moto

    Nyumba inayofanana na Tanzania? Tanzania inafananaje mkuu? Alafu uliona wapi?
Back
Top Bottom