Pole sana
Kanisa Katoliki lina mifumo yake imara kabisa. Kulingana na maelezo yako wewe hauko karibu na Jumuiya yako. Taarifa zote ya Mkatoliki Mlei hutolewa na Jumuiya Mahalia. Rafiki zako walitakiwa wawe wawazi na sii wafiche hali ya Baba yao. Kwa uelewa wangu Kanisa lilifanya vizuri kabisa...
Unaongelea Jumuiya Ndogo Ndogo za Kanisa Katoliki Takatifu La Mitume?Ama kweli wewe hulijui Kanisa Katoliki.Jumuiya zake haziwezi kufa kamwe na ndo kwanza madhehebu mengine yanaiga.Kaa vizuri na viongozi wako wa hiarakia mahalia watakuelewesha unacholalamikia vinginevyo unajidhalilisha bure kabisa
Mkuu unakosea sana kuihusisha Taasisi yenye hadhi kama liberman Boys ambayo iko chini ya Holy Ghost Fathers na vitendo vya kishoga!Kwa kweli umenihuzunisha kwani inaelekea hujui kuwa watoto wetu tunaowapeleka pale ndo wanakuwa na tabia mbovu ambazo either wanatoka nazo majumbani mwao au shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.