Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

Habari wakuu.natafuta mtu wakufanya nae biashara ya unga wa sembe na dona.njoo na milioni 25 tufanye Kazi hiyo pamoja .Eneo nimeshanunua Kibaha. Jengo nimeshajenga bado kuweka mashine na umeme wa 3 face .kiwanda ni kukubwa na kina store pia. Nilipanga nimalize December mwaka huu kiwanda kianze Kazi lakini mipango haijakaa sawa.au kwa anayejua taasisi inayowezesha viwanda kama hivyo Kwa mkopo. Kwa muitaji tuwasiliane pm
Ulivyoanda unga umenishtua kidogo ila sasa nmemuelewa
 
Aaaah mbele kidogo mkuu
Mh mbele ya wapi? Kwenye viwanda vingi maeneo ya mlandiz ndo hapo napokutajia kuna viwanda km v3 vya wachina na vingne km v3 hv vinajengwa!

Seriously unajenga kiwanda sehemu ambayo huijui specifically hata kwa jina? I doubt
 
Mh mbele ya wapi? Kwenye viwanda vingi maeneo ya mlandiz ndo hapo napokutajia kuna viwanda km v3 vya wachina na vingne km v3 hv vinajengwa!

Seriously unajenga kiwanda sehemu ambayo huijui specifically hata kwa jina? I doubt
Inawezakana ikawa ndo apo, ila sababu za kiusalama nikashidwa kuanisha location yote apa, ila walio serious wanakuja pm na wanakuja kuangalia wapate uhalisia na mengineyo Mkuu. Najua nifanyacho
 
Hopeless kabisa,umekaa hapo kula kulala badala uchangamshe akili hiyo upo hapa una-post picture za kipumbavu kwenye thread za watu.sijui kwanini hadi mda huu mods hawajakupa haki yako,unatakiwa uwe BANNED mwaka mzima ili utie akili maana kilichotumwa hapa kina msaada mkubwa sana kwa watu kuliko ndezi kama wewe kuwepo hapa jukwaani.stupidity!
 
Wadau. Nimeisha anza mchakato wa hiyo kitu kwa maana ya jengo ambayo mi nimeiita phase one sasa ndo najipanga kuezeka.

Phase two ni kununua machines ambazo ni full set kusaga na kukoboa pamoja na mizani mikubwa na midogo na packaging materials bila kusahau mahindi ambayo mdo mtaji.

Phase three ni kuanza kazi.

Naomba muongozo au ushauri kwa ambaye either anafanya au anauzoefu na hii biashara japo kwa reaserch ndogo niliyofanya inalipa na nimeamua kuanza at a medium level scale walau nipate market share kias fulan lakin naona changamoto ni nyingi mf kupata mahindi fake, unga au mahindi kuharibika ama kuoza, n.k nk.

Hizo picha ndo mjengo wa kiwanda na bahati nzuri nina eneo kubwa hapa kwangu so nimeona bora nijenge hapa kupunguza gharama na iwe rahisi kusimamia.

Ntashukuru kwa ushauri.
View attachment 174571
View attachment 174572
View attachment 174573
Mkuu hii kitu ulifikia hatua gani? L
 
Asante Concordile 101.

Naona.mwenzangu walau una ABC...

Kwangu navuta three phase maana naanza na vitu vikubwa size 100 ya kusaga na roller tatu ya kukoboa na nimejenga nyumba pia ya wafanyakazi of which wataishi pale pale na huo mlango mkubwa wa kiwanda uko sambamba na dirisha la masterbed room hahaha lakin nafikiria kuweka security camera maana always labour ndo changamoto kubwa. Nina store inaweza kuchukua hata gunia 500 za mahindi ila nafikiri inabidi kuyatreat. Ntaomba mwongozo wako mkuu hasa kuepuka mahindi kuoza na unga kupata fungus maana nataka nianze na stock ya walau ton tatu. Pia sijui napata wapi mifuko na lebeling zake na je nilazima usajiri TBS na TFDA?
TBS kwa wajasiriamali wadogo , sample yako ikipimwa n.a. ikiwa poa basi inakuwa certified bure mkuu.
 
Back
Top Bottom