Recent content by Slegaray

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    Nakuungaa mkono. Wasomi wepi anaowasema, makanjaanja kama slaa? ofisi zote za Umma ni Lowasa tupu ila wewe sema wamefungiwa kwenye chupa. Slaa kwa sasa amegeuka vuvuzela , watu ni mabadiliko tu dont ask why. Wasomi wapigika na yote ksbb ya ccm, mtoa mada ndo hajasoma.....Lowasa forever.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge waliopoteza ndoto ya kurudi mjengoni!

    natse israel _ karatu, mustafa akonaay mbulu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Wanabodi jf Hapa Karatu leo ni patashika shati kuchanika kati ya kundi hasimu kati ya aliekuwa M/kiti wa H/wilaya Lazaro Masay na kundi la Mb viti maalum na Natse kugombania kiti cha ubunge jimbo la Karatu kk Chadema. naaminii hadi saa kumi jioni kitakuwa kimenuka. Stay tunned for live...
  4. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA Hawasomeki, wanatapatapa kama wafa maji

    si lazima ukawa ikawa na vyaama vinne, ht vitatu badoo ukawa..
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya David Silinde ni ushahidi CHADEMA mlifanya makosa

    Pamojaa sn
  6. S

    JamiiForums Tanzania CCM ilivyo sasa haiokoleki wala haibebeki hata kwa Machela!

    Ccm rip,.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado tutaendelea kuwa na First Lady na si Rais mwanamke

    Mwanaume = Mwanamke ....mwogopeni Mungu....mie sipo labda kwa 6 na chinge. Eti racm ni nzr kisa 50 kwa 50, sijui wanasali wapi hawa. Sasa c mseme ushoga ni haki pia ....sodoma na gomora ,...acheni uharamia bana. Uchaguzi simamisha m'ke hashindi ht wanake wenzao hawampi kura labda makabila...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado tutaendelea kuwa na First Lady na si Rais mwanamke

    Marekani pmj na demokrasia, marais 43 hakuna m'ke. Waafrika sijui wana shida gani. M'me ni kichwa cha nyumba kama ambavyo Yesu ni kichwa cha kanisa. Wanaodai haki sawa wamkosea Mungu, walishapigwa ban na Quran na bible tangu enzi na enzi, ban by nature. Utawasikia eti haki sawa, 50 kwa 50...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado tutaendelea kuwa na First Lady na si Rais mwanamke

    Kuna vitu tunafanya lkn kwa Mungu ni kufuru tu. Wanawake wanadai haki sawa hasa wakristo, wakidhani wanafanya jambo jema. Ni sawa na kusema zamu ya kuzaa ni ya wanaume. Mifano michache: 1. Wakristo huiga mambo ya wanaume mf. Kuvaa suruali, na pia kwa hulka yao kuvaa nusu uchi...lini m'me amevaa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Asanteni Wazanzibari, nawapenda sana

    Wanajamvi, Umuhmu wa wajumbe wa bmk kutoka zenji ona ulivyo muhmu hasa kwa 6. Sijui km umuhm huu unaweza endelea huko mbele tuendako, isije ikawa km ganda la ndizi. Umuhmu huu unaletwa na dalili ya mkwamo wa kupata 2 ya 3 ya kura kutoka zenji mana isipopatikana aibu kwa 6 na ccm kwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Samweli Sitta: Zisipotimia zitatimilizwa!, "Dua la Kuku Halimpati Mwewe"

    Mungu yupo pmj nasi tuwasubiri mtaani hakuna namna kwa kua hata znz wakikataa mawe yatapiga kura.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi yalitafuna Bunge

    Serikali haina dini, ccm na mnara wa babeli cjui km watafika. Waliwaahidi kwenye ilani yao 2005 ndio mana wanadai. Ccm walaghai sn. Waache wanavuna walichopanda.
  13. S

    JamiiForums Tanzania 2015 Chadema kushinda majimbo mengi lakini siyo Urais

    Safari hi tunavaa t shet, kepu, kanga na pilau afu kura cdm na ukawa. Hatudanganyiki ng'o. Kwanza watamsimamisha nani, nikiangalia yamebaki mafisi tupu. Ambao sipendi kuwasikia akishika mic kabla ht hajasema ni kuku haya: lukuvi, wasira, ghasia, 6, komba, NWF, ..... Hiv ili washnde...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba kinacho kuwasha ni nini ?

    Mleta thread kuku, ccm kuku, bmk genge la majambaz, komba bata mzinga, 6 ni kuwadi na warioba ni JIWE WALILOLIKATA WAASHI LITAKUWA JIWE KUU LA KUWAMALIZA. Hiv ww komba unawashwa nn hd kumtusi mzee wetu, unadhani hyo racm ya chama cha majambaz itapita ...mat..ko kweli.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Warioba
Back
Top Bottom