Delegate
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 331
- 203
2015 hiyo hapo inakaribia,siasa za Tanzania zilivyo kwa sasa hivi kama hazitabadilika zitaifanya Chadema kushinda majimbo mengi zaidi na Ccm kushinda Urais,inaonyesha dhairi jinsi itakavyokuwa ngumu kwa Rais ajaye kwani bunge litakuwa na nguvu zaidi yake kwa sababu ya Wabunge wengi kutoka upinzaniInawezekana vilevile Chadema kushinda Urais iwapa Ukawa wakijikita zaidi kwenye kufanya kazi pamoja bila mitafaruku,Vilevile Ccm wanaweza kupoteza nafasi yao ya Urais iwapo watasimamisha mtu mwenye kashfa za kifisadi na axiyejulika nakuifanya ukawa ku take chance,Hii inaonyesha ni jinsi gani political game ilivyo ngumu,Kama Chadema watashinda majimbo mengi na kushindwa Urais baxi 2020 njia wazi ya Chadema kwenda ikulu na Ccm ndiyo itakuwa mwisho wake rasmi kama National part ya Africa kusini,Kanu ya Kenya,Unip ya zambia etc,, southern african tunafanana kwa mambo mengi,yaliyotokea nchi zingine za kusini mwa Africa lazima yatatokea na kwetu